Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Syndicate,Chanda chema huvikwa pete ,
Huo ni msemo wa wahenga.
Huyu mama askari polisi alitusaidia sana kwa kusimamia misingi na haki akiwa OCD katika wilaya mojawapo hapa Dar.
Hakuwa mtetezi wa waharifu,hakuhalalisha rushwa wala kumung'unya maneno.
Chonde chonde mama Samia tuletee huyu mama atuvushe.View attachment 1842853
Hicho kikao kilifanyika wakati wa utawala wa mwendazakeSyndicate,
Kama anayasema hayo maana yake hao askari wapo, kama wapo alitakiwa kuwamaliza hukohuko, kusimama kwenye media na kuyasema hayo anayosema kunge sound zaidi enzi za Mwendazake
Kama hakumwona basi aligundua ni msaniiHicho kikao kilifanyika wakati wa utawala wa mwendazake
Mkuu hayo yote ni maneno tupu, mimi huwa naamini zaidi kwenye vitendo kuliko sauti za majukwaani, ukitazama waliokaa naye hapo wapo na business zao ni kama hawana time nayeSidhani kama ccm inataka watu weledi kama hawa
Tuanze kwa kuuliza, amekamata na kuwaweka ndani askari wala rushwa wangapi? Sitaki kuamini kwamba huko aliko hakuna traffic police, na kama wapo, ati hawasafishi viatu, na kama wanasafisha basi hiyo kiwi ni yao binafsiShida utakuta watu kama akina Suzzane Kaganda wanapigwa vita kuanzia ndani ya jeshi la police lenyewe.Ila huyu mama anafaa kuwa IGP wa kwanza wa kike
Swala la Traffic kulwa rushwa liko kimfumo zaidi,kiasi kwa cheo na madaraka yake hawezi kuwa na mamlaka ya kulizuia hata kama anatamani iwe hivyo.Na kusema huko aliko labda hujui kwa mfumo wa utendaji wa jeshi la police kuna vitengo ukitupwa unaishia kusoma magazeti tu hata kama kirank uko juu.Tuanze kwa kuuliza, amekamata na kuwaweka ndani askari wala rushwa wangapi? Sitaki kuamini kwamba huko aliko hakuna traffic police, na kama wapo, ati hawasafishi viatu, na kama wanasafisha basi hiyo kiwi ni yao binafsi
Traffic police hawapo chini yake?Swala la Traffic kulwa rushwa liko kimfumo zaidi,kiasi kwa cheo na madaraka yake hawezi kuwa na mamlaka ya kulizuia hata kama anatamani iwe hivyo.Na kusema huko aliko labda hujui kwa mfumo wa utendaji wa jeshi la police kuna vitengo ukitupwa unaishia kusoma magazeti tu hata kama kirank uko juu.
Alisema tena hadharani na watu wanamsikia, na kiwango alisema TZS. 5000/= eti ya kubrashi viatu!Alisema hakusema?
Ila tuwe wakweli,kuna watu wana Maneno mazuri sana,sema ukija Sasa kwenye utekelezaji matendo yanakua zero kabisa!!Tuanze kwa kuuliza, amekamata na kuwaweka ndani askari wala rushwa wangapi? Sitaki kuamini kwamba huko aliko hakuna traffic police, na kama wapo, ati hawasafishi viatu, na kama wanasafisha basi hiyo kiwi ni yao binafsi
Hakuwa OCD alikuwa RPC kwa sasa yupo makao makuu kitengo cha tathmini na fidia ya madhara mbali mbali wanayopata askari wakiwa kaziniChanda chema huvikwa pete. Huo ni msemo wa wahenga.
Huyu mama askari polisi alitusaidia sana kwa kusimamia misingi na haki akiwa OCD katika wilaya mojawapo hapa Dar.
Hakuwa mtetezi wa waharifu, hakuhalalisha rushwa wala kumung'unya maneno.
Chonde chonde Rais Samia tuletee huyu mama atuvushe.
Yatakuwa yamekatwa vichwa hayo!Lkn bado kuna chawa wake wanakanusha