Huyu Askari alitusaidia sana kusimamia misingi na haki

Huyu Askari alitusaidia sana kusimamia misingi na haki

Chanda chema huvikwa pete. Huo ni msemo wa wahenga.

Huyu mama askari polisi alitusaidia sana kwa kusimamia misingi na haki akiwa OCD katika wilaya mojawapo hapa Dar.

Hakuwa mtetezi wa waharifu, hakuhalalisha rushwa wala kumung'unya maneno.

Chonde chonde Rais Samia tuletee huyu mama atuvushe.

.
 
Natamani kusikia alipandishwa cheo. Anaonekana mweledi sana.

Tofauti na hapo nitatumia ile kanuni ya when ignorance is bliss to be wise is foolish.
Nashangaa watu wanaweza kutumia mtandao kwa kumjenga mtu. Je sisi tulioathirika na utendaji wake unataka tuseme!? Hoja za kujenga ni nzuri zaidi kuliko za kujengana!
 
Hujui tu,

Ila umemharibia mwenzako kazi yake.
 
Kuna ambao waadilifu na kuna ambao wanakera sana...
Kuna mmoja jana alidindiana na Raia mwenye private car kwa mambo ya kuvuziana kupeana makosa...


Baada ya malumbano ya muda mrefu, askari akasema nakuita defender na utanijua mimi nani...
Nae yule raia wa kwenye private car akamwambia piga simu nami nipige simu tuoneshane...
Mwisho wa siku askari akanywea...
 
Back
Top Bottom