Natamani kusikia alipandishwa cheo. Anaonekana mweledi sana.Afande Kaganda sijui yuko wapi siku hizi?
Wanaopandishwa ni wale kama RPC wa Dodoma, Muroto.Tofauti na hapo nitatumia ile kanuni ya when ignorance is bliss to be wise is foolish.Natamani kusikia alipandishwa cheo. Anaonekana mweledi sana.
Pia TABORA. Sasa hivi sijui yuko makao makuu? U RPC ulikuwa unamfaa sana huyu mama!Kuna wakati alikuwa RPC hapa Dar, sijui amefichwa wapi, ataibuliwa tu na hii clip
Nilitaka kushangaa usimtaje?Mungu wao aliwahi kubatiza jina rushwa kuwa ni ela ya kupigia viatu brush
Chanda chema huvikwa pete ,
Huo ni msemo wa wahenga.
Huyu mama askari polisi alitusaidia sana kwa kusimamia misingi na haki akiwa OCD katika wilaya mojawapo hapa Dar.
Hakuwa mtetezi wa waharifu,hakuhalalisha rushwa wala kumung'unya maneno.
Chonde chonde mama Samia tuletee huyu mama atuvushe.View attachment 1842853