SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
.Chanda chema huvikwa pete. Huo ni msemo wa wahenga.
Huyu mama askari polisi alitusaidia sana kwa kusimamia misingi na haki akiwa OCD katika wilaya mojawapo hapa Dar.
Hakuwa mtetezi wa waharifu, hakuhalalisha rushwa wala kumung'unya maneno.
Chonde chonde Rais Samia tuletee huyu mama atuvushe.
Nashangaa watu wanaweza kutumia mtandao kwa kumjenga mtu. Je sisi tulioathirika na utendaji wake unataka tuseme!? Hoja za kujenga ni nzuri zaidi kuliko za kujengana!Natamani kusikia alipandishwa cheo. Anaonekana mweledi sana.
Tofauti na hapo nitatumia ile kanuni ya when ignorance is bliss to be wise is foolish.
Africa inataka viongozi waovu tuKizuri mkuu hakidumu
Ila hawa ni askari weredi sana sikiliza hata anavyoongea
Ila hawapewagi nafasi za kufanya maamuzi
System inataka watu waovu pekeeBidada anaonekana ana weledi sana.