Huyu askari Magereza aliyepishana Lugha na hayati JPM alifutwa kazi? Kama alifutwa kazi sasa yupo wapi?

Huyu askari Magereza aliyepishana Lugha na hayati JPM alifutwa kazi? Kama alifutwa kazi sasa yupo wapi?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
image_search_1649610800798.jpg
 
Jamani tuzungumzie udhaifu wa timu yetu ya taifa stars badala ya mtu kama huyu aliyeisha samehewa na anapata mshahala wa haki yake.
 
Mungu huyo huyo pia ndiye huwa anaruhusu watoto wachanga wafe siku ya kuzaliwa.

Msiwe watumwa kifikra kwa siasa zenu uchwara hadi kumsingizia MUNGU kila kitu.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app

Acha kujificha kwa watoto wachanga. Kwa kiburi alichokuwa nacho, na kujimwabafy sidhani Kama hata Mungu anpendelea aendelee kuishi.
 
Mungu huyo huyo pia ndiye huwa anaruhusu watoto wachanga wafe siku ya kuzaliwa.

Msiwe watumwa kifikra kwa siasa zenu uchwara hadi kumsingizia MUNGU kila kitu.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app

Nimemsingizia kwenye nini? Umeelewa nilichoandika Lakini .. Brother learn to be a great thinker not great sinker!
 
Back
Top Bottom