Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,707
- 4,578
Babaako mzazi!Mbwa
Babaako mzazi!Mbwa
Allegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.
Ndo kapiga watu na hicho kifimbo chake. Sijui ni kifimbo cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.
Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi?
Au na yeye anaishi hapa hapa duniani kwenye sehemu iitwayo Tanzania na mahsusi jiji la Dar es Salaam?
Kinachoeleweka huwa hakihitaji maelezo 😉.
View attachment 3353736View attachment 3353737
View: https://youtu.be/1WbQeDj74kc?si=0LV7gm_K_L0cUFj3