Huyu askari polisi ndo kapiga watu nje ya mahakama ya Kisutu leo, ‘allegedly’

Allegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.

Ndo kapiga watu na hicho kitimoto chake. Sijui ni kitimoto cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.

Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi?

Au na yeye anaishi hapa hapa duniani kwenye sehemu iitwayo Tanzania na mahsusi jiji la Dar es Salaam?

Kinachoeleweka huwa hakihitaji maelezo 😉.

View attachment 3353736View attachment 3353737

View: https://youtu.be/1WbQeDj74kc?si=0LV7gm_K_L0cUFj3

Nachoshangaa wako wepesi sana kupiga watu hata dialogue za kawaida. Watu wala hawako violent
 
Allegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.

Ndo kapiga watu na hicho kitimoto chake. Sijui ni kitimoto cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.

Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi?

Au na yeye anaishi hapa hapa duniani kwenye sehemu iitwayo Tanzania na mahsusi jiji la Dar es Salaam?

Kinachoeleweka huwa hakihitaji maelezo 😉.

View attachment 3353736View attachment 3353737

View: https://youtu.be/1WbQeDj74kc?si=0LV7gm_K_L0cUFj3

siku zao sio nyingi na walivyo vilaza hawajui hata kusoma alama za nyakati
 
An
Allegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.

Ndo kapiga watu na hicho kitimoto chake. Sijui ni kitimoto cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.

Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi?

Au na yeye anaishi hapa hapa duniani kwenye sehemu iitwayo Tanzania na mahsusi jiji la Dar es Salaam?

Kinachoeleweka huwa hakihitaji maelezo 😉.

View attachment 3353736View attachment 3353737

View: https://youtu.be/1WbQeDj74kc?si=0LV7gm_K_L0cUFj3

Ananyoosha kama vile anakata mtu!
 
Msishangae gazeti likatoka usiku wa leo likijulisha kwamba amepanda ngazi tatu kwa mkupuo, stay tuned
 
Hawa watu wengi wao walevi na wazinzi na makazi yao duni ila sasa
 
Hawa Huwa wanalipwa 350000 ndio mshahara wao eti
 
Allegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.

Ndo kapiga watu na hicho kitimoto chake. Sijui ni kitimoto cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.

Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi?

Au na yeye anaishi hapa hapa duniani kwenye sehemu iitwayo Tanzania na mahsusi jiji la Dar es Salaam?

Kinachoeleweka huwa hakihitaji maelezo 😉.

View attachment 3353736View attachment 3353737

View: https://youtu.be/1WbQeDj74kc?si=0LV7gm_K_L0cUFj3

HUYU mlevi jamani ni kumvizia baba na kumkumbusha alichofanya na kumpa kichapo
 
Hawa watu ilikuwa ni wa kumalizana nao huko mitaani tu.
Kuna wakati inabidi watu wawe na common sense
Hili ndilo wanalolitaka sana Genge la Samia wakati huu.
Itakuwa ni kama kuwatupia boya la kuwaokoa wasizame kwenye maji wakati huu.

Kuna wakati mahsusi wa kufanya hivyo, siyo sasa.
 
Back
Top Bottom