Huyu askari polisi ndo kapiga watu nje ya mahakama ya Kisutu leo, ‘allegedly’

Wasivyo na akili, wazo la kwamba hawana uwezo wa kuwazuia watu zaidi ya milioni 60, hawana.

Watanzania tupo kama punda. Ila hata punda huwa inafikia mahali anagoma……
Tanzania haina wafanya vurugu, wanawaonea tu.
Kama Tanzania ingekuwa na wafanya vurugu hakuna Polisi wa kuzuia, na hata wangetumwa na nani wote wangegoma kutoka.

Nchi hii wala hauhitaji kuungwa mkno na mikoa yote. Unachukua Mtwara, Mwanza, Arusha na Mbeya, hiyo mikoa pekee ukikutana na wana mikakati inatosha sana kufanya chochote kile.

Ila huenda wakakipata wakitakacho myda si mrefu.
Uzuri kesi ya Lissu imebeba attention ya K8ma5aifa, na walivyo smart wamemteua kuwa Mwenyekiti wa IDU. Hiyo ni nafasi muhimu sana nyakati hizi za kuelekea uchaguzi mkuu, kwani sasa watu wamepata sababu ya kwenda Tanzania kufuatilia kesi ya Makamu Mwenyek8ti wa IDU, hapo hadi majasusi wataingia kirahisi sana kufanya majukumu yao.

Sasa hivi kila wakifanyacho kinageuka sumu kwao.
 
Kuna Kila sababu, nchi zinazoiuzia silaha Tanzania,kuzuia kuwauzia.
 
Hizi ni zama za AI, cyber warfare, n.k.

Ipo siku visimu vyao vitalipuliwa remotely au vichwa vyao vitadunguliwa na drones.

Israel na Ukraine wameshatuonyesha njia.

I’m just sayin’…..
 
Allegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.

Ndo kapiga watu na hicho kitimoto chake. Sijui ni kitimoto cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.

Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi?

Au na yeye anaishi hapa hapa duniani kwenye sehemu iitwayo Tanzania na mahsusi jiji la Dar es Salaam?

Kinachoeleweka huwa hakihitaji maelezo 😉.

View attachment 3353736View attachment 3353737

View: https://youtu.be/1WbQeDj74kc?si=0LV7gm_K_L0cUFj3

hadi aibu! assistant commissioner wa polisi kabisa
 
Ni mambo ya ajabu kabisa haya.
 
Wakome
 
Ashighulikiwe na kila mtu atakayekuwa karibu naye, hata jadi itumike
Kuna tindikali, kuna sumu, ingawa siamini katika uchawi…..kama huo uchawi unafanya kazi….warogwe.

Whatever it takes….
 
HUYU anaishi wapi angalau hata tukatupe kinyes kwenye Bati lake, lazm ijulikane anaishi wapi ingawa nao chadema walikusea kutokutii maagizo ya maahakama
 
Back
Top Bottom