Huyu Ben Paul vipi huyu simuelewi kabisa!

Huku muelewa ,mwenzako alikua embarassed kwa sababu hakuwa prepared na ushindi hule na still kuja juu pale ku shukuru, mchanganyiko wa furaha,kuto tegema na kuto amini na pengine guilty pia , inaweza ikakufanya ushindwe kuongea au hata ukafanya vituko usivyo tegemea, nina uhakila leo akiangalia ile clip ya yeye kutoa acceptance speech lazima atakua embarassed!
 
hapo kwenye red na blue mbona panapingana, unasema kila mtu ana njia yake (red), then unasema hujawahi kuona duniani(blue)!!!! sasa ungewahi kuona si ingekuwa tayari njia ya mwingine???? kwa taarifa tu, adrenaline zinaweza kukusababishia ufanyi kitu cha ajabu tofauti na wewe ulivyoclaim...kuna mtu alimwaga manii kutokana na mshtuko tu wa mtihani!!!! Sa huyo nae utasema alikuwa anawaza nini?
 
Go to hell Kili Music Awards....wanatoa zawadi kwa masharobaro sio wasanii(proffesional).....

siyo kweli! 20% sharobaro?kwa msanii kuwa na swagga za kitozi siyo mbaya acha wajisharobarizo vijana ni muda wao huu!
 
Dah WanaJF ni great thinkres....haya hapa chini yanatokea wapi tena:smash:
we mpmbavu hata mtu akikohoa utesema ni mguno wa ngono, akili yako ishaoza na lazima ufe maskni maana huwazi kitu kingine, nyambaf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…