Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Wanaishije au ndio ma dildo na usagaji na Kama baadhi ya wadau wanasema sijui chaputa.nishakutanA NA mmama mtu mzima ,umri wa kustaafu alikataa kuolewa baada ya kufukuzwa seminary alipokuwa akisomea u sister. aliomba ruhusa kuhudhuria msiba, akazidisha siku. hakupokelewa. lakini akaamua kutokuolewa wala kuzaa kulinda kile alichokusudia. nahisi nayeye kwa msimamo wake huu wa kijinga anaweza kuwa bado ni bikra