Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Mimi ninapenda sana kuja kufuga samaki kama biashara na hobby. Hii ni vision ya miaka 10 baadae.Sio lazima kila mtu afuge kuku shekhe, kila mtu afanye kitu kutokana na Hobie yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ninapenda sana kuja kufuga samaki kama biashara na hobby. Hii ni vision ya miaka 10 baadae.Sio lazima kila mtu afuge kuku shekhe, kila mtu afanye kitu kutokana na Hobie yake
una mtaji mkubwa sana unaonekanaMimi ninapenda sana kufuga samaki kama biashara na hobby.
Kwa sasa mimi ni mlalahoi tu mkuu. Hii ni vision ya miaka 10 baadae.una mtaji mkubwa sana unaonekana
Hongera alakini
Hujui unachokiongea, ila jua tu kitu chochote ukifanya kwa kusukumwa na njaa huwezi fika popote'Hobby' ya wanaolalamika hawana kazi , maisha yanawapiga ni nini? Kufuga kuku nimetolea mfano, kuliko kuaibika huna hela ya kula 'hobby' ya kufuga kuku au kulima mchicha haiwezi kusaidia?
Kama 'hobby' zingekuwa zinaingiza kipato,, dunia ingekuwa peponi.
asa kama mlalahoi unajuje kama miaka kumi ijayo biashara ya samaki itaku hot!Kwa sasa mimi ni mlalahoi tu mkuu. Hii ni vision ya miaka 10 baadae.
Imani yangu kwa Munguasa kama mlalahoi unajuje kama miaka kumi ijayo biashara ya samaki itaku hot!
Picha tafadhaliNi bibi Mzee
Kapinda mgongo na dental formula imebaki nusu.
Mvi kichwa Kizima.
Leo nimemfuatilia nimeshangaa
1: anafuga Kuku na kuwahudumia mwenyewe. Sio Kuku tu Bali hata mzinga na kanga. Anatotesha na kuvilea vifaranga mwenyewe bila msaada.
2: Anaamka asubuhi anafagia Nyumba nzima. Anafuta vumbi na kudeki.
3: Jioni anakimbia kanisani mazoezi ya kwaya kwa wakati na hachelewi.
4: Anajaza Maji kwenye matank na kuhakikisha choo na bafu ni visafi.
5: Anapata Muda wa kusoma kutanua ubongo. Vitabu mbalimbali.
6: Saambili anapata muda wa kuangalia Habari ili asiachwe nyuma.
7: Anapata Muda wa kupigia Simu watoto wake na wadau mbalimbali kusocialize.
8: Anaamka mapema SAA kumi na moja kuanzia siku.
9: Analimisha Mashamba na Bustani za mbogamboga.
Wako wapi mabinti wenye Viwango angalau vya bibi
Kama imani uko sahihi, imani hua haidanganyi bruh muhimu kupambanaImani yangu kwa Mungu
Bila picha ya bibi mkuu ni stori ya kufikirika[emoji3][emoji3]
AmenKama imani uko sahihi, imani hua haidanganyi bruh muhimu kupambana
Nimekuona kwenye nyuzi nyingi unaomba picha ziwekwe,kwa bahati mbaya watu wengi hawafahamu namma ya kuweka picha.Ninaomba ikikupendeza ufungue thread ya kueonyesha jinsi ya kuweka picha JF ingependeza ungetumia picha zako kufundishiaWeka picha basi
Nafikiri tuko wawili hapa tusiojua tuongealo.Hujui unachokiongea, ila jua tu kitu chochote ukifanya kwa kusukumwa na njaa huwezi fika popote