Huyu Bigirimana amekuja kutimiza ndoto zake Bongo?

MUSHEKY

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
2,812
Reaction score
2,760
Wakuu samahani kwa usumbufu,

Simaanishi Joy aliyesajiliwa jana na yanga HAPANA huyu sina shida naye japo kila akitajwa beki huyu wa pembeni picha ya shemeji yenu wa zamani hunijia ila tuyaache hapa namaanisha yule kijana wa Kirundi tuliyeambiwa ametoka ligi ya Uingereza na kuja Yanga[emoji849]

Msingi wangu hapa upo hivi, je bwana Bigirimana yupo tofauti na vijana wenzie wote wa kiafrika wakati wote wanatambua Ulaya hasa EPL kama mahali pa kukomaa na ndoto zao, bwana huyu ameenda ant-clock wise na kuamua kujiunga na vyura hao wa njano?

Bila kupepesa macho ni wazi mchezaji huyu alishafikia kilele chake cha mpira na hivyo alitafuta tu pakuulia soka lake rasmi kama wenzao wote waliokwama wanavyofanya

Case ya Bigirimana ni kama vile Samata atoke chap Aston Villa mara paap kasajiliwa Vital O' ya Burundi kisha unaskia katua jangwani huku akimwagiwa sifa kem kem na vyura hao wa kijani
 
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
EPL palimshinda, akatoka hapo akaenda kupanga samaki kiwandani kwenye makasha ndio utopolo wakaambiwa kuna jembe ulaya waliwahi, wakamkimbilia.
 
Hizi habari za Bigirimana kuota wewe umezisikia wapi, au ndo mkewe?
 
Kikwete peke yake na mzee manara wengine wote hamnazo
 
Kikwete peke yake na mzee manara wengine wote hamnazo
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
EPL palimshinda, akatoka hapo akaenda kupanga samaki kiwandani kwenye makasha ndio utopolo wakaambiwa kuna jembe ulaya waliwahi, wakamkimbilia.
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Nasikia ANA CHETI. Toka St Nicholas Hospital ya pale Newcastle ... ...mwezi Nchangaaa huyoo ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ