MUSHEKY
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 2,812
- 2,760
Wakuu samahani kwa usumbufu,
Simaanishi Joy aliyesajiliwa jana na yanga HAPANA huyu sina shida naye japo kila akitajwa beki huyu wa pembeni picha ya shemeji yenu wa zamani hunijia ila tuyaache hapa namaanisha yule kijana wa Kirundi tuliyeambiwa ametoka ligi ya Uingereza na kuja Yanga[emoji849]
Msingi wangu hapa upo hivi, je bwana Bigirimana yupo tofauti na vijana wenzie wote wa kiafrika wakati wote wanatambua Ulaya hasa EPL kama mahali pa kukomaa na ndoto zao, bwana huyu ameenda ant-clock wise na kuamua kujiunga na vyura hao wa njano?
Bila kupepesa macho ni wazi mchezaji huyu alishafikia kilele chake cha mpira na hivyo alitafuta tu pakuulia soka lake rasmi kama wenzao wote waliokwama wanavyofanya
Case ya Bigirimana ni kama vile Samata atoke chap Aston Villa mara paap kasajiliwa Vital O' ya Burundi kisha unaskia katua jangwani huku akimwagiwa sifa kem kem na vyura hao wa kijani