Huyu Bikira wa Kisukuma anachekesha

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
Kabla jk hajatia saini huo muswada tujitahidi kuyatoa....😎
uyu jamaa bwana nimewahi mfuatilia huko insta na alijifanya kuponda sana mtu kuajiriwa...na akafikia hadi kulipisha watu 20,000 kwa saa akupe ushaur wa kibiashara uwe kama yeye...nk nk nk
nakumbuka kuna wakat alijitapa kafungua baa yake nyuma ya triple 7 sijui imefia wapi...nway kwa sasa ni muajiriwa wa EFm radio na anakingabakuli kila tar 30...nikajiuliza imekuaje tena?...c uliponda ajira ww...kwa shule zako bila ada....
Nasikia ata sinza unapokaa mshkaj tu anakuhifadhi...ivi watu mpoje??
Maushauri yooote unayotupa ila wewe hamna kitu....
Part 2 is coming later
 
Hahaha bac unachoshaur walau kiakisi maisha yako halisi japo nusu

Hivi mtu wa kiume anajiita bikira??? Halafu bado anapata watu wanaomsikiliza. Hivi kweli watu hawana wazee au vijana wa mfano? Hivi familia zetu ziko wapi? Hadi huyu mvulana anapata watu anawatoza pesa ili awape mawazo ya biashara???

Inabidi turudishe mfumo imara katika jamii hasa familia zetu, koo, thn kabila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…