umeona eehHuyu mbwa anajipalia makaa, na atakuwa haingii ikulu mwaka huu, ye hajui kama wambea tuna ushawishi tungempigia debe, sasa atakoma nfyuuu
umeona eeh
sura baya,roho mbaya,ngoja tumalizie kabla prezdaah hajasign
sijui yukoje
wakuu naona mnaponda,kuna single yangu moja na video itakuwa hewani week ijayo na msanii mkubwa bongo,naomba msiniponde wanaJF mi nafight life kama nye
nazingua tuHahahaa ya kweli haya??