Huyu binti ameniletea balaa

Write your reply...chakata tu mkuu ondoa hofu mhimu utelezi tu uwe wa kutosha pia usitake sifa kwenye K utaukwaa
 
Kama anatumia dawa kwa muda mrefu basi virusi vinaweza kuwa vimepungua kwa kiwango cha kutoambukiza (undetectable) .

Ila nikushauri muende kwa mtaalamu wa afya kama kweli unampango wa kumuoa soon huko mtapewa maelezo ya namna ya kuishi bila kuambukizana .

N.b
Kama aliweza kukuficha kitu kama hicho means alikuwa mpekee na hii sio nzuri kwenye mustakabali mzuri wa mahusiano hivyo fuata hisia zako ila akili iende na wewe.
 
Mkuu yani nimeanza na kumuogopa, kama kweli anaupendo kwanini asingeniambia toka mwanzo?....amenipitisha kwenye pito kubwa sana na asante nitabeba akili yangu sikuzote
 
hofu niliyonayo ni kubwa sana wakuu. Maisha yana siri kubwa sana na binadamu tuna mengi sana rohoni mwetu
 
Ndiyo kuwa na amani- mtu anayetumia dawa vizuri anashusha viral load kiasi anabakia hawezi kuambukiza tena
 
mimi sio wa kuongea peke yangu wakuu, kuna muda nakuwa kama nimechanganyikiwa kutokana na hofu.
U=U......Undetectable = Untransmittable.

HIVinakutia hofu na watu wanaishi nayo miaka tele tena bila masharti magumu magumu..... Imagine mtu mwenye kisukaria au presha ,wanamasharti kibao ya chakula na vinywaji.

Fikiria mtu wa Kansa 5 years survival ni miujiza.
 
[emoji1787][emoji1787] Mkuu Kandambili1 wafwaaa! Subiri baada ya siku 90, kisha pima, utakuja kunishukuru hapa! Kikubwa usiusambaze kwa wanawake wengine tafadhari!
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
One man down
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…