Huyu binti ameniletea balaa

Huyu binti ameniletea balaa

Gent

Ni mrembo sana? Ana shape kali au niaje yani unaweza kutuelezea,au kutupa picha ya mfanano wa kama star ganii?
Ni mrembo sana mkuu, mzuri sana wa sura, shape anayo japo sio sana yupo kama official Nai wa moni centrozone. Hali ni mbaya sana basi tu
 
Nimetoka kumla mtoto.... kondomu kama balaa.

Lkn siwaamini kabisa Hawa watoto wa kike.

Huwa napenda kile cha mwisho. Mbususu ikiwa imeloa nachomoa naweka napizzz nanawa /<Mzee Jacob Zuma>/ style
 
miaka 20 iliyopita..
nikiwa bado skonga nilikutana na manzi flani usiku nikamsindikiza..

kile kidemu kiliniongopea kwamba pale anaenda ni kwa mamaake mdogo.
kumbe geto kwa lijamaa fulani.

bas kipindi hicho sidhan km mobi fon zilianza.nikawa kila siku nakaa jioni kapite nikasindikize.tukazoeana.
nikaanza na mimi kugonga.
nikafa nikaoza.

to cut long story short.
katika stori kaliniambia kalipata mtoto akafariki.
katika stor akaniambia mtaan kwao wanamlenga sana kwamba anao.
acheni kabisa..nilihisi zirael huyu hapa.

ule mtaa kuna masela najuana nao na walikuwa wananiona naenda enda pale.hata hawakunichana asee!

siku hiyo mdogo wake kbs akanichana kwamba sista wake ana ngoma na anagawa kichizi.yalaaa kile kipindi nilipitia mateso sana.kweli yule manzi sikudumu nae alivuta.ayaaaa ayaaa.nilidhoofika mungu wangu.ndo kipindi kila sehemu ukipita muziki wa feruz niko kitandaniii.
ilifikia nimevurugwa yaan nikiskia dem anao mi namtaka nimpande.nimekata tamaa kbs.

lakini mungu wa ajabu hadi leo nikipima sijawahi kuwa nao.

kuwa na amani bob
Mkuu nimecheka kama mazuri maana huo wimbo wa ferouz nikikaa peke angu unanijia sana pia huwa napambana uondoke kichwan.

Nasiku ameniambia kimafumbo ningeweza jidhuru mkuu, maana nilipaniki vibaya mno. sijui ningeishije niliwaza mambo mengi sana.

sahizi zimepita siku 45 hofu ipo najitahidi kuwa sawa mkuu nakuomba Mungu aniepushie kikombe hiki.
 
Nimetoka kumla mtoto.... kondomu kama balaa.

Lkn siwaamini kabisa Hawa watoto wa kike.

Huwa napenda kile cha mwisho. Mbususu ikiwa imeloa nachomoa naweka napizzz nanawa // style[/I]
Kuwa makini mkuu, huwezi amini jamaa amelala doro, toka siku tumepewa taarifa mbaya sina hamu nae tena,.
 
Duniani kuna aina moja tu ya binadamu ambao ni WANAUME, hawa WANAWAKE hapana aisee [emoji119]
Mkuu shida ni kwanini mtu asiseme, kwanini asinionee huruma..basi hata kwanini asinilinde kwa lazima, anigomee kav.. sema ndio maisha kwakweli tunapitia mengi sana
 
Mkuu nimecheka kama mazuri maana huo wimbo wa ferouz nikikaa peke angu unanijia sana pia huwa napambana uondoke kichwan.

Nasiku ameniambia kimafumbo ningeweza jidhuru mkuu, maana nilipaniki vibaya mno. sijui ningeishije niliwaza mambo mengi sana.

sahizi zimepita siku 45 hofu ipo najitahidi kuwa sawa mkuu nakuomba Mungu aniepushie kikombe hiki.
yaani nilikuwa nikiuskia ni kama muziki wa parapanda ya bwana.

ULE MZIKI SIKUFICHI ULIKATISHA WATU TAMAA SANA.ndio maana feruz amekuwa hata teja..ni laana za ule mziki
 
Mkuu Itakuwa secret we nipatie

Hahahaa, nimecheka ujue. Sema mwana usijali hauna ngoma wala nini we tulia acha kuwa na hofu kabisa. Hiyo hofu ndio itakumaliza relax kabisa, mi kuna kipindi nilikuwa naugua mara kwa mara tena homa. Aisee mawazo yote nikayapeleka kwenye ngoma niliishi kwa tabu sana mpaka pale niliamua kupima. Punguza hofu, mkuu fanya hivyo niko serious ni pm namba yake
Mkuu namba ninaweza kukupa Ila itaondoa usiri kwasababu akiunganisha dot atajua ni mimi.

af Avatar hiyo ndio hali yangu Ile siku amenipanikisha mkuu. Ni Mungu tu sikugongwa na magari sikuile.
 
Ndugu habari za jumapili.

Nilikuwa na mahusiano na binti niliempenda sana na kuwa na malengo nae mengi sana.

Kitu ambacho sikujua binti ni muathirika na kwamujibu wake anatumia dawa.

Ilikuwa kama bahati tu baada ya kutafakari maisha yangu, nikamgusia suala la kupima, akakaa kmya muda mrefu ila usiku akaniuliza swali linaloonesha ameathirika aliachiwa na mama na anatumia dawa akawa anaulizia je nitamkubali au nitamkataa.

Mara ya mwisho nimekutana nae June 12 , sikuweza kumeza Prep kwani siku zilikuwa zimeenda Sana ..wakuu na nmesubiri zipite siku 40 majibu nipo Safi je niwe na amani wakuu?.

Carlos The Jackal
rikiboy
Sky Eclat View attachment 2309646
Pumbafu kabisa. Unaulizia shuka wakati kumeshakucha? Kutembea na mwenza ambaye yuko positive siyo lazima upate na hasa kama anatumia dawa kwa usahihi. Kuna watu wameoa na kuishi na wenza hata kwa mwaka lakini hawakupata.
 
Mkuu punguza kunywa. K avant
Ukiwa pombe Kali unakuja kujuta baadae.

Juzi Kati nilichezea kichapo....lait ningekuwa sijalewa yasingetokea haya. Nauguza USO maumivu nashukuru sujachubuka naonekana mchovu tu. Sikio limeumia Kwa ndani nashukuru ninasikia ila kama lime Jana maji. Naomba mwenye ufahamu kitabibu maana nimegugo athari sikioni kama lime clash inatisha
 
Ndugu habari za jumapili.

Nilikuwa na mahusiano na binti niliempenda sana na kuwa na malengo nae mengi sana.

Kitu ambacho sikujua binti ni muathirika na kwamujibu wake anatumia dawa.

Ilikuwa kama bahati tu baada ya kutafakari maisha yangu, nikamgusia suala la kupima, akakaa kmya muda mrefu ila usiku akaniuliza swali linaloonesha ameathirika aliachiwa na mama na anatumia dawa akawa anaulizia je nitamkubali au nitamkataa.

Mara ya mwisho nimekutana nae June 12 , sikuweza kumeza Prep kwani siku zilikuwa zimeenda Sana ..wakuu na nmesubiri zipite siku 40 majibu nipo Safi je niwe na amani wakuu?.

Carlos The Jackal
rikiboy
Sky Eclat View attachment 2309646
Hawezi kukuambukiza kama anatumia dawa za kufubaza makali ya virusi.kuwa na amani acha mawazo ishi nae wala hatakuambukiza.
 
Nenda hospitali kwa uchunguzi zaidi
Ukiwa pombe Kali unakuja kujuta baadae.

Juzi Kati nilichezea kichapo....lait ningekuwa sijalewa yasingetokea haya. Nauguza USO maumivu nashukuru sujachubuka naonekana mchovu tu. Sikio limeumia Kwa ndani nashukuru ninasikia ila kama lime Jana maji. Naomba mwenye ufahamu kitabibu maana nimegugo athari sikioni kama lime clash inatisha
 
Mkuu hofu niliyonayo ni kubwa sana sina amani kabisa..pia majibu ya siku 40 yana uzito?
Mtu akitumia hizo dawa kwa 100% bila kukosa hatakuwa na uwezo wa kuambukiza wengine,kuwa na amani kijana,endelea kumsisitiza asiache kutumia hzo dawa na wewe usimuache abadan
 
Ndugu habari za jumapili.

Nilikuwa na mahusiano na binti niliempenda sana na kuwa na malengo nae mengi sana.

Kitu ambacho sikujua binti ni muathirika na kwamujibu wake anatumia dawa.

Ilikuwa kama bahati tu baada ya kutafakari maisha yangu, nikamgusia suala la kupima, akakaa kmya muda mrefu ila usiku akaniuliza swali linaloonesha ameathirika aliachiwa na mama na anatumia dawa akawa anaulizia je nitamkubali au nitamkataa.

Mara ya mwisho nimekutana nae June 12 , sikuweza kumeza Prep kwani siku zilikuwa zimeenda Sana ..wakuu na nmesubiri zipite siku 40 majibu nipo Safi je niwe na amani wakuu?.

Carlos The Jackal
rikiboy
Sky Eclat View attachment 2309646
Ninawafahamu watu ambao wameishi kinyumba na wanawake waathirika....lakini ukweli khusu VVU kama anameza dawa kwa uaminifu hawezi kukuambukiza

Bora huyo Mkweli mngemchkua mkaenda kupima huwa vipimo vinasoma negative kabisa kama anameza dawa kwa uaminifu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom