Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 475
- 1,318
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nashukuru nilikuwa majibu mazuri siku niliyopaniki zaidi, Niliwaza mengi maovu. Mungu anisamehe.Angalia usije ukajitia kamba, kuwa mwanaume wewe.
Mkuu nimecheka kama mazuri maana huo wimbo wa ferouz nikikaa peke angu unanijia sana pia huwa napambana uondoke kichwan.miaka 20 iliyopita..
nikiwa bado skonga nilikutana na manzi flani usiku nikamsindikiza..
kile kidemu kiliniongopea kwamba pale anaenda ni kwa mamaake mdogo.
kumbe geto kwa lijamaa fulani.
bas kipindi hicho sidhan km mobi fon zilianza.nikawa kila siku nakaa jioni kapite nikasindikize.tukazoeana.
nikaanza na mimi kugonga.
nikafa nikaoza.
to cut long story short.
katika stori kaliniambia kalipata mtoto akafariki.
katika stor akaniambia mtaan kwao wanamlenga sana kwamba anao.
acheni kabisa..nilihisi zirael huyu hapa.
ule mtaa kuna masela najuana nao na walikuwa wananiona naenda enda pale.hata hawakunichana asee!
siku hiyo mdogo wake kbs akanichana kwamba sista wake ana ngoma na anagawa kichizi.yalaaa kile kipindi nilipitia mateso sana.kweli yule manzi sikudumu nae alivuta.ayaaaa ayaaa.nilidhoofika mungu wangu.ndo kipindi kila sehemu ukipita muziki wa feruz niko kitandaniii.
ilifikia nimevurugwa yaan nikiskia dem anao mi namtaka nimpande.nimekata tamaa kbs.
lakini mungu wa ajabu hadi leo nikipima sijawahi kuwa nao.
kuwa na amani bob
Kuwa makini mkuu, huwezi amini jamaa amelala doro, toka siku tumepewa taarifa mbaya sina hamu nae tena,.Nimetoka kumla mtoto.... kondomu kama balaa.
Lkn siwaamini kabisa Hawa watoto wa kike.
Huwa napenda kile cha mwisho. Mbususu ikiwa imeloa nachomoa naweka napizzz nanawa // style[/I]
Mkuu shida ni kwanini mtu asiseme, kwanini asinionee huruma..basi hata kwanini asinilinde kwa lazima, anigomee kav.. sema ndio maisha kwakweli tunapitia mengi sanaDuniani kuna aina moja tu ya binadamu ambao ni WANAUME, hawa WANAWAKE hapana aisee [emoji119]
yaani nilikuwa nikiuskia ni kama muziki wa parapanda ya bwana.Mkuu nimecheka kama mazuri maana huo wimbo wa ferouz nikikaa peke angu unanijia sana pia huwa napambana uondoke kichwan.
Nasiku ameniambia kimafumbo ningeweza jidhuru mkuu, maana nilipaniki vibaya mno. sijui ningeishije niliwaza mambo mengi sana.
sahizi zimepita siku 45 hofu ipo najitahidi kuwa sawa mkuu nakuomba Mungu aniepushie kikombe hiki.
Kuwa makini mkuu, huwezi amini jamaa amelala doro, toka siku tumepewa taarifa mbaya sina hamu nae tena,.
Mkuu namba ninaweza kukupa Ila itaondoa usiri kwasababu akiunganisha dot atajua ni mimi.
af Avatar hiyo ndio hali yangu Ile siku amenipanikisha mkuu. Ni Mungu tu sikugongwa na magari sikuile.
Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI? una umri gani? Acha kuchanganyikiwa, Soma huo uzi kwenye link usiwe mvivu.mimi sio wa kuongea peke yangu wakuu, kuna muda nakuwa kama nimechanganyikiwa kutokana na hofu.
Pumbafu kabisa. Unaulizia shuka wakati kumeshakucha? Kutembea na mwenza ambaye yuko positive siyo lazima upate na hasa kama anatumia dawa kwa usahihi. Kuna watu wameoa na kuishi na wenza hata kwa mwaka lakini hawakupata.Ndugu habari za jumapili.
Nilikuwa na mahusiano na binti niliempenda sana na kuwa na malengo nae mengi sana.
Kitu ambacho sikujua binti ni muathirika na kwamujibu wake anatumia dawa.
Ilikuwa kama bahati tu baada ya kutafakari maisha yangu, nikamgusia suala la kupima, akakaa kmya muda mrefu ila usiku akaniuliza swali linaloonesha ameathirika aliachiwa na mama na anatumia dawa akawa anaulizia je nitamkubali au nitamkataa.
Mara ya mwisho nimekutana nae June 12 , sikuweza kumeza Prep kwani siku zilikuwa zimeenda Sana ..wakuu na nmesubiri zipite siku 40 majibu nipo Safi je niwe na amani wakuu?.
Carlos The Jackal
rikiboy
Sky Eclat View attachment 2309646
Ukiwa pombe Kali unakuja kujuta baadae.Mkuu punguza kunywa. K avant
Umepona bhana,we tulia tu.Ni ngumu kupata ugonjwa na mtu anaetumia dawa.RelaxMkuu kwahiyo nitumie kipimo gani?
Hawezi kukuambukiza kama anatumia dawa za kufubaza makali ya virusi.kuwa na amani acha mawazo ishi nae wala hatakuambukiza.Ndugu habari za jumapili.
Nilikuwa na mahusiano na binti niliempenda sana na kuwa na malengo nae mengi sana.
Kitu ambacho sikujua binti ni muathirika na kwamujibu wake anatumia dawa.
Ilikuwa kama bahati tu baada ya kutafakari maisha yangu, nikamgusia suala la kupima, akakaa kmya muda mrefu ila usiku akaniuliza swali linaloonesha ameathirika aliachiwa na mama na anatumia dawa akawa anaulizia je nitamkubali au nitamkataa.
Mara ya mwisho nimekutana nae June 12 , sikuweza kumeza Prep kwani siku zilikuwa zimeenda Sana ..wakuu na nmesubiri zipite siku 40 majibu nipo Safi je niwe na amani wakuu?.
Carlos The Jackal
rikiboy
Sky Eclat View attachment 2309646
Ukiwa pombe Kali unakuja kujuta baadae.
Juzi Kati nilichezea kichapo....lait ningekuwa sijalewa yasingetokea haya. Nauguza USO maumivu nashukuru sujachubuka naonekana mchovu tu. Sikio limeumia Kwa ndani nashukuru ninasikia ila kama lime Jana maji. Naomba mwenye ufahamu kitabibu maana nimegugo athari sikioni kama lime clash inatisha
Mtu akitumia hizo dawa kwa 100% bila kukosa hatakuwa na uwezo wa kuambukiza wengine,kuwa na amani kijana,endelea kumsisitiza asiache kutumia hzo dawa na wewe usimuache abadanMkuu hofu niliyonayo ni kubwa sana sina amani kabisa..pia majibu ya siku 40 yana uzito?
Ninawafahamu watu ambao wameishi kinyumba na wanawake waathirika....lakini ukweli khusu VVU kama anameza dawa kwa uaminifu hawezi kukuambukizaNdugu habari za jumapili.
Nilikuwa na mahusiano na binti niliempenda sana na kuwa na malengo nae mengi sana.
Kitu ambacho sikujua binti ni muathirika na kwamujibu wake anatumia dawa.
Ilikuwa kama bahati tu baada ya kutafakari maisha yangu, nikamgusia suala la kupima, akakaa kmya muda mrefu ila usiku akaniuliza swali linaloonesha ameathirika aliachiwa na mama na anatumia dawa akawa anaulizia je nitamkubali au nitamkataa.
Mara ya mwisho nimekutana nae June 12 , sikuweza kumeza Prep kwani siku zilikuwa zimeenda Sana ..wakuu na nmesubiri zipite siku 40 majibu nipo Safi je niwe na amani wakuu?.
Carlos The Jackal
rikiboy
Sky Eclat View attachment 2309646
Usisahau kunipa mrejesho mkuuAsante mkuu, nitaenda hospital kupima kipimo hicho na asante Kwa kuniweka sawa.. maana mwezi mzima nimepanick, sijui hata naishije
Binti ni mrembo sana mkuu. Ipo siku nitamuelezea vizuri maana sipo sawa