figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Aisee!
Lol, tumsubiri huyo binti aje tumwulize kwa nini ameuteka moyo wa figganigga!Na ukipendwa na figganigga hamna kukataa
ni sawa na kuigomea polisi jamii
Lizzy?
Hapana. Ni Mwajuma!
wakati wote unamuona JF,anaweza kuwa ni kidume,no wonder anakuchunia,duuh hata vocha unamtumia????
Afu si umeskia
hamna kukataa
ni polisi jamii huyo
Lizzy?
Kumbe ulimtukana...! Labda bado ana maumivu ya mitusi yako. Mia!!hadi tunaongea kwenye simu, tumesha peana account za fb. lakini anaruka mitego kinoumer. nimetumia ujanja wangu wote lakini wapi. mimi siwezi kutongoza dume coz hadi nmtongoze nakuwa nimemfanyia uchunguzi wa hali ya juu ikiwemo kumtukana ili nione ustahimilivu wake na ni jinsi gani amekomaa kiakili. Mia
Lizzy anaweza kunijaza makovu mwili mzima coz ana hasira kinyama. ukileta matani na penzi lake anaweza kukutoa roho. watu wa hivyo nawaogopa. Mia