figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
habari wakuu. nipeni maujanja ya kutongoza ili nimiliki kifaa.
yaani ni mjanja kinyama. kila ninapo msomesha ananiambia hadanganyiki, nikimsomesha ananiambia eti mimi mzee wa mia ni mzee wa totoz, nmejaribu kujipendekeza kwa kutuma vocha lakini hata asante hasemi. mara aseme yupo busy wakati mda wote namuona jf. hadi hapa kashajijua ni nani. nitumie nafasi hii kumwambia; "nakupenda sana binti. wewe ndo wakunipa faraja. naahidi naahidi kutunza penzi lako na kulienzi. sitakuumiza. Mmwaaa..!!". mia