Huyu binti JF kauteka moyo wangu nipeni maujanja ya kumtongoza

Huyu binti JF kauteka moyo wangu nipeni maujanja ya kumtongoza

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
habari wakuu. nipeni maujanja ya kutongoza ili nimiliki kifaa.
yaani ni mjanja kinyama. kila ninapo msomesha ananiambia hadanganyiki, nikimsomesha ananiambia eti mimi mzee wa mia ni mzee wa totoz, nmejaribu kujipendekeza kwa kutuma vocha lakini hata asante hasemi. mara aseme yupo busy wakati mda wote namuona jf. hadi hapa kashajijua ni nani. nitumie nafasi hii kumwambia; "nakupenda sana binti. wewe ndo wakunipa faraja. naahidi naahidi kutunza penzi lako na kulienzi. sitakuumiza. Mmwaaa..!!". mia
 
unaweza ukakuta mwanaume kazimia avatar tu bila kujua kwamba hiyo kitu inaweza isiwe na uhusiano wowote na huyo mlengwa
 
wakati wote unamuona JF,anaweza kuwa ni kidume,no wonder anakuchunia,duuh hata vocha unamtumia????

hadi tunaongea kwenye simu, tumesha peana account za fb. lakini anaruka mitego kinoumer. nimetumia ujanja wangu wote lakini wapi. mimi siwezi kutongoza dume coz hadi nmtongoze nakuwa nimemfanyia uchunguzi wa hali ya juu ikiwemo kumtukana ili nione ustahimilivu wake na ni jinsi gani amekomaa kiakili. Mia
 
Siku ukikutana nae unaweza kuzimia, maana unaweza kukuta ni gwagu kisawasawa
 
hadi tunaongea kwenye simu, tumesha peana account za fb. lakini anaruka mitego kinoumer. nimetumia ujanja wangu wote lakini wapi. mimi siwezi kutongoza dume coz hadi nmtongoze nakuwa nimemfanyia uchunguzi wa hali ya juu ikiwemo kumtukana ili nione ustahimilivu wake na ni jinsi gani amekomaa kiakili. Mia
Kumbe ulimtukana...! Labda bado ana maumivu ya mitusi yako. Mia!!
 
Back
Top Bottom