Huyu binti wa kilokole nimemuoa anataka aende round 20 kwa siku kwenye tendo la ndoa, me nifanyaje?

Dudu ya mwanaume ndogo haisimamishi zaidi ya dk 3
 
Acha kudhalilisha Jina la Bwana Yesu kwa kuandika upuuzi wako. Please Moderator Active Paw na Mkuu YinYang huu uzi unakwaza na kudhalilisha imani ya wengine.

Tutendeeni haki.
We nyau nenda kamtoe jela gwajima
Sisi tunadiscuss hali halisi ambazo Yesu mwenyewe amazing
Usijifanye PR wa Yesu hajakutuma uje utukane watu kwa mitandao
 
Kwan wana ndoa wapya kwa siku mnaenda round ngap? 2 au 3?

Mbona mwenzenu amepata mke anataka round 20 kwa siku?

Afanyaje?
Mshaurini?

Ila binti wa kwa Yesu unataka round 20 aje sasa? Au alikuwa hajaokoka binti wa watu?
Sasa kama anampa vyakuku jogoo mteke anategemea nini? Mlokole alikuwa anajitunza sasa nahii zimemjaa kwanini asimpe ! Sasa wewe sekunde 8 wazamani unategemea nini!
 
Sasa kama anampa vyakuku jogoo mteke anategemea nini? Mlokole alikuwa anajitunza sasa nahii zimemjaa kwanini asimpe ! Sasa wewe sekunde 8 wazamani unategemea nini!
Kwahiyo unasemaje?
 
hawa walokole wa mchongo tu. mwanamke wa kilokole unapata wapi muda wa kusoma biblia kama unangonoka muda wote. je, muda wa maombi. anyway hii nichai tu
Asingiziwe mlokole, sema huyo bwana hajiwezi, mlokole kajitunza sasa kapata mme afanye nini sasa, na huwenda anampa vya jogoo mteke halafu anajidai round 20 uongo mtupu!
 
Kwan wana ndoa wapya kwa siku mnaenda round ngap? 2 au 3?

Mbona mwenzenu amepata mke anataka round 20 kwa siku?

Afanyaje?
Mshaurini?

Ila binti wa kwa Yesu unataka round 20 aje sasa? Au alikuwa hajaokoka binti wa watu?
Piga kazi brother. Kama huwezi tupe namba yake inbox tukusaidie πŸ˜‚ πŸ₯°
 
Ni real life
Omba isikukute
Na kuhakikisha mwanamke aliyekulia kwenye ulokole hawezi fanya mambo ya hovyo kama hayo labda hawa waliokutana na ulokole ukubwani wakiwa tayari wameshaanza masuala ya mapenzi kwa sababu ya taratibu zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…