Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Yeyote atae mfahamu awasiliane na jeshi la polisi, au afike hospitali ya jitimai, ambapo mwili wake umewekwa.
Wapambanaji tunaondoka makwetu tunakuja ugenini tunapitia mengi sana, lakini ni muhimu pale tunapo pata viridhiki kidogo tujitahidi kuanzisha familia, vuta demu ghetto WA kuishi nae faida ni nyingi sana achana na hasara ndo kama hivi huenda kama una demu au mke inasaidia yeye kuwajua walau ndugu zako wawili watatu na kutoa taarifa, inapo tokea changamoto either una umwa, umefungwa jela au kufariki.
INNALILLAH WAINNA ILLAH RAJUUN.