Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Jina hajulikani tukipata taarifa tutaendelea kujuzana kakaAnaitqa nani
Lete pichaJina hajulikani tukipata taarifa tutaendelea kujuzana kaka
Bro huoni vizuri, mbona nime attach hapo kwenye uziLete picha
Nishalewa bhana🙆♀️Bro huoni vizuri, mbona nime attach hapo kwenye uzi
Chakani au Shakani?Yeyote atae mfahamu awasiliane na jeshi la polisi, au afike hospitali ya jitimai, ambapo mwili wake umewekwa.
Wapambanaji tunaondoka makwetu tunakuja ugenini tunapitia mengi sana, lakini ni muhimu pale tunapo pata viridhiki kidogo tujitahidi kuanzisha familia, vuta demu ghetto WA kuishi nae faida ni nyingi sana achana na hasara ndo kama hivi huenda kama una demu au mke inasaidia yeye kuwajua walau ndugu zako wawili watatu na kutoa taarifa, inapo tokea changamoto either una umwa, umefungwa jela au kufariki.
INNALILLAH WAINNA ILLAH RAJUUN.
Labda angekuwa na mali hoja zako zingekuwa za msingi ...yaani marehemu kaacha mali ila ndugu zake awajulikani..Yeyote atae mfahamu awasiliane na jeshi la polisi, au afike hospitali ya jitimai, ambapo mwili wake umewekwa.