Huyu bondia aliepigana na Mwakinyo ni bondia muoga na asie na mbinu

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Nimeangalia pambano hapa huyu bondia wa namia ameonekana kuto kujiamini kabisa. Kakosa mbinu. Kakosa uvumilivu, alafu kwanini refa kamaliza mapema angemuacha apigwe ngumi za uso na mwakinyo ili apate uzoefu wa kutosha.

Note. Kama huyu mnamibia kashinda mapambano 23 kuna uwezekano wiki zijazo nikaanza kujifua niingie uwanjani.
 
Mwakinyo anapiganishwa na walevi tu,ni bondia overated tu,huyo hata dulah mbabe hamuwezi
 
Kwa mabondia na mapandan anayo pigana mwakinyo asije akapgna na kiduku atakama ni locol kwa sababu anapgna na walevi
 
Unapigwa "punch" 5 bila ya majibu unategemea refa aendeleze pambano?!!

"Boxing" ni mchezo na si vita ya kuuana.....

#HastaMwakinyo
#SiempreJMT
 
Kwa mabondia na mapandan anayo pigana mwakinyo asije akapgna na kiduku atakama ni locol kwa sababu anapgna na walevi
Kuna mashabiki maandazi kama wewe ambao ni wasenge wasenge flani hamjielewi, jaribu kutafuta game za huyo jamaa kisha uje ku comment maqu wewe
 
Mwakinyo angeongezewa round 1 tuu angemuua huyu jamaa
 
Njoo tujadili pambano la msouth na homeboy ilikuwa ajabu na kweli

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Miongoni mwa vitu vilivyonisikitisha Jana ni hiki cha Tony Rashid kupigwa yaan kaongoza round ya 2 hadi ya 12 halafu anakubali KO sad for him ila kuhusu matumizi ya dawa how come round tisa zote ampige dawa mwishoni ndo ziwe na effect
 
Watu wanafikiri boxing ni Vita vya kuwindana roho...
 
Boxing siyo vita babu,ulitaka mpaka afie ulingoni,refa akiona bondia anaelemewa na anashindwa kujitetea lazima amuokoe kwa kumaliza pambano.
 
Yule sio bondia ni mstaafu wa ubondia, hakuja dar kufata maumivu alikuja kufata pesa tu, sasa ulitaka aende hadi round ya 10 ili apate vyote? (Maumivu + pesa)
 
Miongoni mwa vitu vilivyonisikitisha Jana ni hiki cha Tony Rashid kupigwa yaan kaongoza round ya 2 hadi ya 12 halafu anakubali KO sad for him ila kuhusu matumizi ya dawa how come round tisa zote ampige dawa mwishoni ndo ziwe na effect
Kuna kitu hakiko sawa pale huwenda dawa walipuliza mda uleule wa round ya mwisho

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Unapigwa "punch" 5 bila ya majibu unategemea refa aendeleze pambano?!!

"Boxing" ni mchezo na si vita ya kuuana.....

#HastaMwakinyo
#SiempreJMT
Hakuna aliepigwa punch tano pale, Sena Mwakinyo amerusha makumi ya punch zisizo na target nyingi zilikuwa zinamkosa Indongo au kuishia kwenye gloves.
Bado hatuwezi kujua nani angeibuka mshindi iwapo pambano lisingemalizwa mapema.
 
Jamaa anajinazibu kupiga mwanajesh wa namibia hvyo kapiga serekal ya jamuhur ya namibia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…