Huyu bosi vp

Huyu bosi vp

in any case dare not. utakuwa mtumwa na especially ukiwa na surbordinates watakudharau
 
HAIHUSU HIYO KWANI jAMAA KALALAMIKA KUHUSU MAHUSIANO KAZINI?YEYE ANASEMA HUYU BOSI VIPI ANATAKA KUKOBOLEWA SASA YEYE NI KUANGALIA MZIGO KAMA UNALIPA AKOBOE TUU KAMA HAULIPI AUPOTEZEE SIO LAZIMA SANA

Pole pole basi eeh baba eeh.
 
I hope mnaendelea vizuri wana JF

Mwenzenu nafikiria niondokaje leo hapa ofisini..jana jioni wakati natoka bosi wangu aliniomba lifti na alipoingia akaniambia leo lazima nikamuoneshe nyumbani kwangu, ofcz alikua anaongea kama ni utani flani nami nikajua ndio ivo
kumbe bana alimaanisha, mama wa watu akakomaa kwenye gari mpaka mitaa ya home mitaa ya kunduchi hiyo ni kama mida ya saa moja na nusu, tunafika getini kabla sijapiga horn eti anadai anataka kushuka, nilipomuuliza mbona unataka kushuka huku nje akajibu yeye alikuja kwa ajili ya kitu kimoja tu...eti nimpe kiss
tukazinguana pale lakini kwa sababu ilikua maeneo ya home ikabidi mzee nimpe hiyo kiss ili aondoke zake, akataka tena nikala mara ya pili nikatulia then akaniambia anataka kuondoka bahati nzuri nina namba ya jamaa wa bajaji nikampigia akaja kumchukua!

sasa leo hapa ndio nafikiria how should i go..kuna kila dalili kuibukiwa tena!
Umekula denda lanini??kama wewe hukuwa na hisia naye??unatulete isdingo ze need??
 
Muite mkeo aje akuchukue ofisini.... vinginevyo, nenda naye hadi sebuleni na ufanye utambulisho.....
 
Kaka yangu wala usijaribu kulala naye, kwanza heshima ya kazi itashuka pili atakuwa anawafanyia vituko wasichan ambao uko nao karibu akifikiri mna uhusiano mwisho wa siku kazi zitakuwa hazifanyiki na wote mtaonekana watoto mmeshindwa kucontrol hisia zenu ofisini
 
Ni sawa na kula ndizi zilizokaangwa na mafuta ya kitimoto, hujala kitimoto hapo.

Hapo kinachokuwa kimebakia nikuomba wakuletee kilo uendelee!!ila wasikuwekee ngozi kubwa!!Mdudu vivaaaa!!!!
 
Back
Top Bottom