Huyu Brother "K" wa futuhi mashati yake anapataga wapi?

Huyo ni muha halisi na wala sio kuigiza tu, acheni kufananisha kabila kubwa na mambo ya ajabu jamani
 
Babu kibamia [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ni ujinga kumuita mwanaume mwenzio kibamia! Hata kama humpendi unamkaushia tu kama nilivyomkaushia Mimi! Masuala ya vibamia waachie kina Mange....

Samahani lakini mkuu...!
 
Sikai kuwa united sio club kubwa ni kubwa lakni sahivi ubora wa city united anaonekana Swansea ndyo maana alitandikwa OT
Mawazo ya mtanzania hayo sijawahi kusikia wachambuz nguli duniani wakiongea hivyo

Pale unapozidisha mahaba ni haki yako

Ila epl timu bora kwangu ni liverpool kikos si cha gharama ila ukianza kushambuliwa utaimba city big noooo
 
Ubora wake ni kumfunga city?

Ubora upi ikiwa huongozi league?

Kwani Liverpool ameanza kwa man city kuzinyanyasha team za top four?
 
Ubora wake ni kumfunga city?

Ubora upi ikiwa huongozi league?

Kwani Liverpool ameanza kwa man city kuzinyanyasha team za top four?

Nenda majukwaa ya michezo kule
 
Mashati yanaazimwa kwa Le Mutuz hayo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…