mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
LANGOLANGO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa, yaani huyu jamaa nampendea hicho kicheko chake tuuanacheka kye kye kye kye hatar sana leo yeye na mama njelekela wameshinda tatu mzuka
Hicho kipindi kwa MTU Wa dar unaweza kuangalia mwanzo mwisho na usicheke lkn kwa Wa mikoani naona huyo ndio kama Davies Chappele au Trevor Noah wao. Kweli ushamba mzigo! Wameshazoea kuona vichekesho vya ng'ombe na kondoo wakigombana sasa wakiona mtu kwenye TV kavaa nguo na kupiga kelele wao kwao ni zaidi ya comedy. Sijui tuwasaidieje washamba hawa
MuhaHahahahahhaaa huwa naiangaliaga kwa bahati mbaya yaani si mpenzi wa hiyo komedi ila ikinikuta naitizama huyo braza K ananiachaga hoi hehehehehee enewei usiwaze sana ni msukuma huyo yaani hapo anasukuma sukuma tuu ili mambo yaende. ..... kila kitu yeye anasukuma tuu.... mkokoteni anasukuma, toroli anasukuma, ng'ombe anasukuma. ... mwanamke anasukuma iiiggghh ndo hivyo hivyo hata hayo masharti anasukuma tuu muonee huruma tuu shemeji yangu huyo.
Ila kwa majidai na majivuno sasaa looh sijui wanaiga wahaya. .......
Igoloo.
Hahaaaaaa, jamaa ni mkali sana yule kwa comedy aisee, personaly, namkubali kitambo sana.anacheka kye kye kye kye hatar sana leo yeye na mama njelekela wameshinda tatu mzuka
Aiseee kwahiyo wewe ukimwangalia yule dada anaongea kisegere nyuma wa dar au Ebitoke unatoa meno nje????Hicho kipindi kwa MTU Wa dar unaweza kuangalia mwanzo mwisho na usicheke lkn kwa Wa mikoani naona huyo ndio kama Davies Chappele au Trevor Noah wao. Kweli ushamba mzigo! Wameshazoea kuona vichekesho vya ng'ombe na kondoo wakigombana sasa wakiona mtu kwenye TV kavaa nguo na kupiga kelele wao kwao ni zaidi ya comedy. Sijui tuwasaidieje washamba hawa
Ina maana hicho kipindi dar hakionekani jamani, tuacheni ushamba, mbona dar kwenyewe ni uchokoni tu.Hicho kipindi kwa MTU Wa dar unaweza kuangalia mwanzo mwisho na usicheke lkn kwa Wa mikoani naona huyo ndio kama Davies Chappele au Trevor Noah wao. Kweli ushamba mzigo! Wameshazoea kuona vichekesho vya ng'ombe na kondoo wakigombana sasa wakiona mtu kwenye TV kavaa nguo na kupiga kelele wao kwao ni zaidi ya comedy. Sijui tuwasaidieje washamba hawa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] waongezee na kipindi chochote kutoka TBCWatu wa Dar mnaangalia shilawadu na mboni
Wahamiaji wa mkoa wa dar wanatabu sana baba yake au mjomba ake alipata bahat ya kufanyakazi dar basi asili yake anajua yy ni wa dar wenye mkoa wapo kimyaIna maana hicho kipindi dar hakionekani jamani, tuacheni ushamba, mbona dar kwenyewe ni uchokoni tu.
Kuangalia kipindi ni mapenzi ya mtu, na wala haijalishi anaishi wapi
Mhamiaji wewe sio mwenye dar vijana mnatema big g kwa karanga za kuonjeshwa.Hakyamama... sio vipindi vya ajabu tu... hata TV stations za ajabu... unakuta lijamaa kutwa nzima linaangalia Star TV likibadilisha sanasana linaangalia TBC ili limwangalie baba yao anasema nini....
Nani kakuambia mimi ni mwenye Dar? Punguza kiherehere basi afu unisome vizuri. Mi kwetu Moshi kwa taarifa yakoMhamiaji wewe sio mwenye dar vijana mnatema big g kwa karanga za kuonjeshwa.
Leo wasukuma mmekuwa wakali...Ina maana hicho kipindi dar hakionekani jamani, tuacheni ushamba, mbona dar kwenyewe ni uchokoni tu.
Kuangalia kipindi ni mapenzi ya mtu, na wala haijalishi anaishi wapi
post ya jamaa hapo juuWatu wa mikoani mnaangalia vipindi vya ajabu
Punguzeni ushamba!
Mliungana wote hapo na wa mwanaume wa dar.Hakyamama... sio vipindi vya ajabu tu... hata TV stations za ajabu... unakuta lijamaa kutwa nzima linaangalia Star TV likibadilisha sanasana linaangalia TBC ili limwangalie baba yao anasema nini....
Tunawajua nyie vipindi vyenu ni Nirvana pamoja na wanawake live ya Joyce Kiria,ndio maana vile vitoto vya panya road hua vinawalaza mapema!!Hicho kipindi kwa MTU Wa dar unaweza kuangalia mwanzo mwisho na usicheke lkn kwa Wa mikoani naona huyo ndio kama Davies Chappele au Trevor Noah wao. Kweli ushamba mzigo! Wameshazoea kuona vichekesho vya ng'ombe na kondoo wakigombana sasa wakiona mtu kwenye TV kavaa nguo na kupiga kelele wao kwao ni zaidi ya comedy. Sijui tuwasaidieje washamba hawa
Kuna ubaya wowote? Wasukuna bhana... aliyewaloga kashakufa. Endeleeni kuangalia futuhi yenu maana ndo kiwango chenu kilipoishiapost ya jamaa hapo juu
Mliungana wote hapo na wa mwanaume wa dar.