Huyu Brother "K" wa futuhi mashati yake anapataga wapi?

Hicho kipindi kwa MTU Wa dar unaweza kuangalia mwanzo mwisho na usicheke lkn kwa Wa mikoani naona huyo ndio kama Davies Chappele au Trevor Noah wao. Kweli ushamba mzigo! Wameshazoea kuona vichekesho vya ng'ombe na kondoo wakigombana sasa wakiona mtu kwenye TV kavaa nguo na kupiga kelele wao kwao ni zaidi ya comedy. Sijui tuwasaidieje washamba hawa

Huko Dar kwa wanaume wenye kufanywa shughuli ya wanawake ndo umepaona pamaana sana kwako?
 
Hahahahahhaaa huwa naiangaliaga kwa bahati mbaya yaani si mpenzi wa hiyo komedi ila ikinikuta naitizama huyo braza K ananiachaga hoi hehehehehee enewei usiwaze sana ni msukuma huyo yaani hapo anasukuma sukuma tuu ili mambo yaende. ..... kila kitu yeye anasukuma tuu.... mkokoteni anasukuma, toroli anasukuma, ng'ombe anasukuma. ... mwanamke anasukuma iiiggghh ndo hivyo hivyo hata hayo masharti anasukuma tuu muonee huruma tuu shemeji yangu huyo.

Ila kwa majidai na majivuno sasaa looh sijui wanaiga wahaya. .......

Igoloo.
Muha
 
Hicho kipindi kwa MTU Wa dar unaweza kuangalia mwanzo mwisho na usicheke lkn kwa Wa mikoani naona huyo ndio kama Davies Chappele au Trevor Noah wao. Kweli ushamba mzigo! Wameshazoea kuona vichekesho vya ng'ombe na kondoo wakigombana sasa wakiona mtu kwenye TV kavaa nguo na kupiga kelele wao kwao ni zaidi ya comedy. Sijui tuwasaidieje washamba hawa
Aiseee kwahiyo wewe ukimwangalia yule dada anaongea kisegere nyuma wa dar au Ebitoke unatoa meno nje????
 
Hicho kipindi kwa MTU Wa dar unaweza kuangalia mwanzo mwisho na usicheke lkn kwa Wa mikoani naona huyo ndio kama Davies Chappele au Trevor Noah wao. Kweli ushamba mzigo! Wameshazoea kuona vichekesho vya ng'ombe na kondoo wakigombana sasa wakiona mtu kwenye TV kavaa nguo na kupiga kelele wao kwao ni zaidi ya comedy. Sijui tuwasaidieje washamba hawa
Ina maana hicho kipindi dar hakionekani jamani, tuacheni ushamba, mbona dar kwenyewe ni uchokoni tu.

Kuangalia kipindi ni mapenzi ya mtu, na wala haijalishi anaishi wapi
 
Wahamiaji wa mkoa wa dar wanatabu sana baba yake au mjomba ake alipata bahat ya kufanyakazi dar basi asili yake anajua yy ni wa dar wenye mkoa wapo kimya
 
Hakyamama... sio vipindi vya ajabu tu... hata TV stations za ajabu... unakuta lijamaa kutwa nzima linaangalia Star TV likibadilisha sanasana linaangalia TBC ili limwangalie baba yao anasema nini....
Mhamiaji wewe sio mwenye dar vijana mnatema big g kwa karanga za kuonjeshwa.
 
Nani kakuambia mimi ni mwenye Dar? Punguza kiherehere basi afu unisome vizuri. Mi kwetu Moshi kwa taarifa yako
 
Ina maana hicho kipindi dar hakionekani jamani, tuacheni ushamba, mbona dar kwenyewe ni uchokoni tu.

Kuangalia kipindi ni mapenzi ya mtu, na wala haijalishi anaishi wapi
Leo wasukuma mmekuwa wakali...
 
Watu wa mikoani mnaangalia vipindi vya ajabu
Punguzeni ushamba!
post ya jamaa hapo juu
Hakyamama... sio vipindi vya ajabu tu... hata TV stations za ajabu... unakuta lijamaa kutwa nzima linaangalia Star TV likibadilisha sanasana linaangalia TBC ili limwangalie baba yao anasema nini....
Mliungana wote hapo na wa mwanaume wa dar.
 
Hicho kipindi kwa MTU Wa dar unaweza kuangalia mwanzo mwisho na usicheke lkn kwa Wa mikoani naona huyo ndio kama Davies Chappele au Trevor Noah wao. Kweli ushamba mzigo! Wameshazoea kuona vichekesho vya ng'ombe na kondoo wakigombana sasa wakiona mtu kwenye TV kavaa nguo na kupiga kelele wao kwao ni zaidi ya comedy. Sijui tuwasaidieje washamba hawa
Tunawajua nyie vipindi vyenu ni Nirvana pamoja na wanawake live ya Joyce Kiria,ndio maana vile vitoto vya panya road hua vinawalaza mapema!!
 
nimesoma comment nyingi watu wa dar wameshambuliwa vya kutosha
 
post ya jamaa hapo juu

Mliungana wote hapo na wa mwanaume wa dar.
Kuna ubaya wowote? Wasukuna bhana... aliyewaloga kashakufa. Endeleeni kuangalia futuhi yenu maana ndo kiwango chenu kilipoishia
 
Wanakuongoza lakin na unaishi kwa utashi wao.
 
Back
Top Bottom