Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
eeeeeh hahhah mambo ya XXXL hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au joti akiigiza ka Da Kiboga vile viatu vyake virefu anatolea wapi..??Ukipata majibu nisaidie pia kuniulizia hivi Mkwere wa Mizengwe Show zile Ndala zake ndefu kama Ulimi wa Mamba na vile Viatu vyake vilivyochongoka kwa Urefu kwa mbele kama Samaki Chuchunge huwa anatengenezewa wapi?
Ni muha wa kigoma....Hahahahahhaaa huwa naiangaliaga kwa bahati mbaya yaani si mpenzi wa hiyo komedi ila ikinikuta naitizama huyo braza K ananiachaga hoi hehehehehee enewei usiwaze sana ni msukuma huyo yaani hapo anasukuma sukuma tuu ili mambo yaende. ..... kila kitu yeye anasukuma tuu.... mkokoteni anasukuma, toroli anasukuma, ng'ombe anasukuma. ... mwanamke anasukuma iiiggghh ndo hivyo hivyo hata hayo masharti anasukuma tuu muonee huruma tuu shemeji yangu huyo.
Ila kwa majidai na majivuno sasaa looh sijui wanaiga wahaya. .......
Igoloo.
Watu wa Dar mnaangalia shilawadu na mboniWatu wa mikoani mnaangalia vipindi vya ajabu
Punguzeni ushamba!
Mmmmmmh naww ! Limbukenii ka barakaWatu wa mikoani mnaangalia vipindi vya ajabu
Punguzeni ushamba!
Mkuu unataka wajanjaruke alafu tutaoa wapiWatu wa mikoani mnaangalia vipindi vya ajabu
Punguzeni ushamba!
Watu wa mikoani mnaangalia vipindi vya ajabu
Punguzeni ushamba!
hahaahahaahaha hata mimi nimeshangaa....brother k ndio nani ??Watu wa mikoani mnaangalia vipindi vya ajabu
Punguzeni ushamba!
Umasikini wa mawazo!Watu wa mikoani mnaangalia vipindi vya ajabu
Punguzeni ushamba!
Bado mtu anamawazo ya kwamba kuishi dar ndo ujanja? Utakuwa wakuja weweHicho kipindi kwa MTU Wa dar unaweza kuangalia mwanzo mwisho na usicheke lkn kwa Wa mikoani naona huyo ndio kama Davies Chappele au Trevor Noah wao. Kweli ushamba mzigo! Wameshazoea kuona vichekesho vya ng'ombe na kondoo wakigombana sasa wakiona mtu kwenye TV kavaa nguo na kupiga kelele wao kwao ni zaidi ya comedy. Sijui tuwasaidieje washamba hawa
Hapo kwenye kusukuma Mwanamke hapo!Hahahahahhaaa huwa naiangaliaga kwa bahati mbaya yaani si mpenzi wa hiyo komedi ila ikinikuta naitizama huyo braza K ananiachaga hoi hehehehehee enewei usiwaze sana ni msukuma huyo yaani hapo anasukuma sukuma tuu ili mambo yaende. ..... kila kitu yeye anasukuma tuu.... mkokoteni anasukuma, toroli anasukuma, ng'ombe anasukuma. ... mwanamke anasukuma iiiggghh ndo hivyo hivyo hata hayo masharti anasukuma tuu muonee huruma tuu shemeji yangu huyo.
Ila kwa majidai na majivuno sasaa looh sijui wanaiga wahaya. .......
Igoloo.
Watu wa mikoani mnaangalia vipindi vya ajabu
Punguzeni ushamba!
Siyo Muha.Ni muha wa kigoma....
Ntondoo