OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mawazo yaheshimiwe lakini mawazo yenye akili sio unaandika utumbo unataka tuuheshimu. Nikisema kwa mawazo yangu wewe kunuka mdomo ni kwa sababu hupigi mswaki. Utaheshimu hayo mawazo?Nanyie khaah kuitwa timu ya taifa pia hutegemea umuhimu wa mechi na mipango ya kocha, kumbuka ni michuano ipi huyu mchezaji ameitwa,tusiwe kama hatujui football bwana, hata inonga huitwaga timu ya taifa pia mchambuzi alichambua kwa nafasi yake na mawazo yake yaheshimiwe, pia akiwauliza kwanini hakuitwa timu ilipoenda world cup au mataifa ya afrika mtamjibu?
Wewe unaweza kujisikia kama unanuka mdomo?, kunuka mdomo siyo sawa na kunuka kinyesi, jibu swali langu! Na mchambuzi akiwauliza kwanini hajaitwa world cup au mataifavya afrika utamjibu?Mawazo yaheshimiwe lakini mawazo yenye akili sio unaandika utumbo unataka tuuheshimu. Nikisema kwa mawazo yangu wewe kunuka mdomo ni kwa sababu hupigi mswaki. Utaheshimu hayo mawazo?
Hiyo ni hoja ya kipuuuzi ambayo hata mwehu hawezi kuuliza. Kuitwa timu ya taifa ni performance, kama hakuitwa maana yake hakumvutia kocha au nafasi yake ilikuwa na mtu bora zaidi. Kile sio kigodoro ukisikia ngoma unatoa kucheza.Wewe unaweza kujisikia kama unanuka mdomo?, kunuka mdomo siyo sawa na kunuka kinyesi, jibu swali langu! Na mchambuzi akiwauliza kwanini hajaitwa world cup au mataifavya afrika utamjibu?
Kumbe unajua kuitwa inategemea mahitaji, umuhimu wa mechi na performance,sasa mnavyolosoka kwa mchambuzi ni nn? Mtabadilika lini nyie kina humbwija? Kila mtu ni kumkosoa tu, au hamna kolomeo?Hiyo ni hoja ya kipuuuzi ambayo hata mwehu hawezi kuuliza. Kuitwa timu ya taifa ni performance, kama hakuitwa maana yake hakumvutia kocha au nafasi yake ilikuwa na mtu bora zaidi. Kile sio kigodoro ukisikia ngoma unatoa kucheza.
Wewe utakuwa mpuuzi mwenzie au ni yeye mwenyewe. Umeanza mpaka kunilisha maneno. Amesikia akisema kuitwa kwake kuna namna ya kujuana sio kwa sababu ya ubora?Kumbe unajua kuitwa inategemea mahitaji, umuhimu wa mechi na performance,sasa mnavyolosoka kwa mchambuzi ni nn? Mtabadilika lini nyie kina humbwija? Kila mtu ni kumkosoa tu, au hamna kolomeo?
Hoja haipigwi nyundo mzee, ushapanic, sasa upuuzi tena unatoka wapi? Kumbe tuna kinadada wengi wenye sura za kiume, nilikuwa siamini leo nimekuonaWewe utakuwa mpuuzi mwenzie au ni yeye mwenyewe. Umeanza mpaka kunilisha maneno. Amesikia akisema kuitwa kwake kuna namna ya kujuana sio kwa sababu ya ubora?
Ficha upumbavu huo unamwagika mpaka unatuchafua
Jibu nilichokuuliza lakini kumbuka kuficha upumbavu ni muhimu sana hiyo.Hoja haipigwi nyundo mzee, ushapanic, sasa upuuzi tena unatoka wapi? Kumbe tuna kinadada wengi wenye sura za kiume, nilikuwa siamini leo nimekuona
Na mpua Wake mkubwa kama kabati
Chawa wa GSM huyo
Mtazamo wake, mzee, maanaJibu nilichokuuliza lakini kumbuka kuficha upumbavu ni muhimu sana hiyo.
HaaaaPua zake zimekaa kama za haji manara au Baba levo?
Unaumia sakho kwenda kukiwasha na Mane?Tofauti yako na huyo Edoo Kumwembe ni ndogo sana.