OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mawazo yaheshimiwe lakini mawazo yenye akili sio unaandika utumbo unataka tuuheshimu. Nikisema kwa mawazo yangu wewe kunuka mdomo ni kwa sababu hupigi mswaki. Utaheshimu hayo mawazo?Nanyie khaah kuitwa timu ya taifa pia hutegemea umuhimu wa mechi na mipango ya kocha, kumbuka ni michuano ipi huyu mchezaji ameitwa,tusiwe kama hatujui football bwana, hata inonga huitwaga timu ya taifa pia mchambuzi alichambua kwa nafasi yake na mawazo yake yaheshimiwe, pia akiwauliza kwanini hakuitwa timu ilipoenda world cup au mataifa ya afrika mtamjibu?