Huyu Bwana chambuzi kongwe anajisikiaje uko aliko

Nanyie khaah kuitwa timu ya taifa pia hutegemea umuhimu wa mechi na mipango ya kocha, kumbuka ni michuano ipi huyu mchezaji ameitwa,tusiwe kama hatujui football bwana, hata inonga huitwaga timu ya taifa pia mchambuzi alichambua kwa nafasi yake na mawazo yake yaheshimiwe, pia akiwauliza kwanini hakuitwa timu ilipoenda world cup au mataifa ya afrika mtamjibu?
Mawazo yaheshimiwe lakini mawazo yenye akili sio unaandika utumbo unataka tuuheshimu. Nikisema kwa mawazo yangu wewe kunuka mdomo ni kwa sababu hupigi mswaki. Utaheshimu hayo mawazo?
 
Wewe unaweza kujisikia kama unanuka mdomo?, kunuka mdomo siyo sawa na kunuka kinyesi, jibu swali langu! Na mchambuzi akiwauliza kwanini hajaitwa world cup au mataifavya afrika utamjibu?
 
Hiyo ni hoja ya kipuuuzi ambayo hata mwehu hawezi kuuliza. Kuitwa timu ya taifa ni performance, kama hakuitwa maana yake hakumvutia kocha au nafasi yake ilikuwa na mtu bora zaidi. Kile sio kigodoro ukisikia ngoma unatoa kucheza.
 
Kumbe unajua kuitwa inategemea mahitaji, umuhimu wa mechi na performance,sasa mnavyolosoka kwa mchambuzi ni nn? Mtabadilika lini nyie kina humbwija? Kila mtu ni kumkosoa tu, au hamna kolomeo?
 
Wewe utakuwa mpuuzi mwenzie au ni yeye mwenyewe. Umeanza mpaka kunilisha maneno. Amesikia akisema kuitwa kwake kuna namna ya kujuana sio kwa sababu ya ubora?
Ficha upumbavu huo unamwagika mpaka unatuchafua
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Harafu akichambua kwa mtazamo wake ww kuna sehemu ya mwili wako inawashwa? Au kuna tundu kwenye mwili wako linazibwa kwa hoja yake,Hebu acha ujuaji usipitwe na kitu, kila jambo la soka wewe ndio mjuaji heeh! Ww msifu mchezaji wetu kwa kuitwa siyo kumshutumu mwingine kwakuwa al7sema hajaitwa na kwrli hajaitwa
 
Wewe utakuwa mpuuzi mwenzie au ni yeye mwenyewe. Umeanza mpaka kunilisha maneno. Amesikia akisema kuitwa kwake kuna namna ya kujuana sio kwa sababu ya ubora?
Ficha upumbavu huo unamwagika mpaka unatuchafua
Hoja haipigwi nyundo mzee, ushapanic, sasa upuuzi tena unatoka wapi? Kumbe tuna kinadada wengi wenye sura za kiume, nilikuwa siamini leo nimekuona
 
Jibu nilichokuuliza lakini kumbuka kuficha upumbavu ni muhimu sana hiyo.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom