Huyu Bwana chambuzi kongwe anajisikiaje uko aliko

Huyu Bwana chambuzi kongwe anajisikiaje uko aliko

NITAKUKAMATA TU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2021
Posts
347
Reaction score
432
Habari wana jamvi,
Baada ya call up ya squad ya kikosi cha lions of Teranga, Senegal,imeifanya nikumbuke maneno ya mtangazaji anayejiona ni mkongwe kwaiyo anajua kila kitu.

Huyu bwana mwaka 2022 , wakati fununu zinasema Pape sakho anaweza kuitwa katika kikosi cha cha jumla timu ya taifa ya Senegal
Nakumbuka huyu bwana akicheka sana,akasema "Senegal inawachezaji wengi bora wanaocheza nje na ndani ya africa kwaiyoo kuitwa kwa sakho itakuwa ni KICHEKESHO.
Akasahu kuwa moja kati ya hao wachezaji bora wanaocheza Africa pengine sakho kwenye list hiyo yumo.

Nilipo kuja kumuona kweli huyu bwana amepungukiwa maarifa ni alipokuja kusema eti kwamba simba au yanga , wapo tayari kupoteza ubingwa wa Africa lakini sio kukubali kufungwa na simba,au yanga,
Nikajiuliza lini izi timu zimefika fainali hyo na timu za nje afu zina mechi zenyewe ziseme tupoteze tu fainali hakuna shida lakini simba au yanga hakuna kutufunga,
pia chambuzi huyu amekuwa ana underrated sana ligi yetu sijui kwa faida ya nn,anaamini sisi ni wa mwisho tu
Wachambuzi kuweni na akiba ya maneno sio kusema mpaka mnamaliza
NAZAN UKO HALIPO BWANA KUMWEMBE ANA ONA AIBU SANA KWA MANENO YAKE
 
Tanzania Hakuna Wachambuzi kuna Wapuuzi tu na Waganga Njaa
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Shida yao Wachambuzi baadhi bado hawaamini kuwa mpira ni Sayansi matokeo yake sasa huyo amepigwa KO
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imebidi nikamwangalie tena picha yake,na hivi anaendekeza mipombe ya kupewa bure muda wote sasa,uso umekuwa mzito kama wimbi la uji wa mawele
Na nani?
 
Hayo ni mawazo yake Eddo sio sheria na wewe hayo ni mawazo yako so kila mtu awe huru kutoa maoni yake.
 
Yule ni muandishi mzuri sana.
Kwenye magazeti.

Huko kwenye Redio na Tv Hana ajuacho Amuachie Ambangile.

Pia namshauri apunguze kuropoka na awe na AKIBA ya Maneno.
Wazaramo wanasema USINENE UKAMALA.
 
Tangu GSM wamzamini kawa ovyo sana sio akili yake pesa konyo
 
Eddo ni bonge moja la mchambuzi, sio nabii..

Wewe mleta mada ndio boya ukamuamini Eddo kama nabii, hiyo sio kazi yake.
 
Eddo ni bonge moja la mchambuzi, sio nabii..

Wewe mleta mada ndio boya ukamuamini Eddo kama nabii, hiyo sio kazi yake.
atukatahi tunachotaka kusema,wanaposema maneno wawe wanatunza ,uwezi sema mchezaji kuitwa et ni kichekesho,kama una umekomaa kitasnia, pengine angetumia neno lingine
 
Nanyie khaah kuitwa timu ya taifa pia hutegemea umuhimu wa mechi na mipango ya kocha, kumbuka ni michuano ipi huyu mchezaji ameitwa,tusiwe kama hatujui football bwana, hata inonga huitwaga timu ya taifa pia mchambuzi alichambua kwa nafasi yake na mawazo yake yaheshimiwe, pia akiwauliza kwanini hakuitwa timu ilipoenda world cup au mataifa ya afrika mtamjibu?
 
Back
Top Bottom