NITAKUKAMATA TU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 347
- 432
Habari wana jamvi,
Baada ya call up ya squad ya kikosi cha lions of Teranga, Senegal,imeifanya nikumbuke maneno ya mtangazaji anayejiona ni mkongwe kwaiyo anajua kila kitu.
Huyu bwana mwaka 2022 , wakati fununu zinasema Pape sakho anaweza kuitwa katika kikosi cha cha jumla timu ya taifa ya Senegal
Nakumbuka huyu bwana akicheka sana,akasema "Senegal inawachezaji wengi bora wanaocheza nje na ndani ya africa kwaiyoo kuitwa kwa sakho itakuwa ni KICHEKESHO.
Akasahu kuwa moja kati ya hao wachezaji bora wanaocheza Africa pengine sakho kwenye list hiyo yumo.
Nilipo kuja kumuona kweli huyu bwana amepungukiwa maarifa ni alipokuja kusema eti kwamba simba au yanga , wapo tayari kupoteza ubingwa wa Africa lakini sio kukubali kufungwa na simba,au yanga,
Nikajiuliza lini izi timu zimefika fainali hyo na timu za nje afu zina mechi zenyewe ziseme tupoteze tu fainali hakuna shida lakini simba au yanga hakuna kutufunga,
pia chambuzi huyu amekuwa ana underrated sana ligi yetu sijui kwa faida ya nn,anaamini sisi ni wa mwisho tu
Wachambuzi kuweni na akiba ya maneno sio kusema mpaka mnamaliza
NAZAN UKO HALIPO BWANA KUMWEMBE ANA ONA AIBU SANA KWA MANENO YAKE