Labda barua yake ya uteuzi imempa maelekezo hayo. Otherwise anafanya mambo ya aibu.Kwa maneno anayo yaongea hana tofauti na wale vijana wa uvccm wnaaotafuta uteuzi.
Naomba tumsikikize ili tujadili.
View attachment 3644465
Kwa maneno anayo yaongea hana tofauti na wale vijana wa uvccm wnaaotafuta uteuzi.
Naomba tumsikikize ili tujadili.
View attachment 3644465
Kwa maneno anayo yaongea hana tofauti na wale vijana wa uvccm wnaaotafuta uteuzi.
Naomba tumsikikize ili tujadili.
View attachment 3644465
Wasiposhangilia hawatapewa Nauli.Mimi nimevutiwa na hadhara yake!. Kama watu wazima( kwa jinsi wanavyoonekana) wanasikiliza kwa makini hicho kinachosemwa na hata kushangilia, Ukombozi wa taifa hili utakuja kwa kuchelewa sana
Mongela,alikuwa mpigaji sana! Vyombo vya usalama ndani yaHuyu atapotea baada ya mwezi kama akina makala na mongellah. Shauri zake
CCM ukiwa na akili hupangwi kucheza!Kwa maneno anayo yaongea hana tofauti na wale vijana wa uvccm wnaaotafuta uteuzi.
Naomba tumsikikize ili tujadili.
View attachment 3644465
Wenzio wameinamisha vichwa inawezekana mawili kati ya yaha,ama hawajakuelewa kabisa unachoongea ama ameamua kuungana na kumwelewa unayejaribu kumchafua!Kwa maneno anayo yaongea hana tofauti na wale vijana wa UVCCM wnaaotafuta uteuzi.
Naomba tumsikikize ili tujadili.
View attachment 3644465
Hiyo yote ni kutokana na hofu ya kujiajiri.Anawatia aibu watu wa Musoma