Taifa au hata chama kuwa wazee kama huyo ni hasara na wastage of time.Umeonaeeeee? Alafu akisimama hadharani utasikia vijana msitegemee kuajiriwa jiungeni kwenye vikundi muombe mikopo ya kilimo
Taifa au hata chama kuwa wazee kama huyo ni hasara na wastage of time.Umeonaeeeee? Alafu akisimama hadharani utasikia vijana msitegemee kuajiriwa jiungeni kwenye vikundi muombe mikopo ya kilimo
Yote ni mawazo na mawazo yangu hayawezi kuwa yako na hivyo ndivyo maisha yalivyo naheshimu mtazamo wako na fikra zako.Kwa mwenye akili timamu hawezi kuandika ulichokiandika
KafanyajeKwa maneno anayo yaongea hana tofauti na wale vijana wa UVCCM wnaaotafuta uteuzi.
Naomba tumsikikize ili tujadili.
View attachment 3644465
Chawa mzee.Kwa maneno anayo yaongea hana tofauti na wale vijana wa UVCCM wnaaotafuta uteuzi.
Naomba tumsikikize ili tujadili.
View attachment 3644465
Huyu bwege hana lingine la kusema na wanachama wa CCM zaidi ya kumsema Heche? Kweli CCM imeishiwa raslimali watu.Kwa maneno anayo yaongea hana tofauti na wale vijana wa UVCCM wnaaotafuta uteuzi.
Naomba tumsikikize ili tujadili.
View attachment 3644465