Huyu Chacha mbona ni sawa na UVCCM, wakati yeye ni senior ndani ya uongozi?

Attachments

  • 1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 6
Mimi nimevutiwa na hadhara yake!. Kama watu wazima( kwa jinsi wanavyoonekana) wanasikiliza kwa makini hicho kinachosemwa na hata kushangilia, Ukombozi wa taifa hili utakuja kwa kuchelewa sana
 
Huyu jamaa sijawahi kukubali hata robo
 
Kwa maneno anayo yaongea hana tofauti na wale vijana wa UVCCM wnaaotafuta uteuzi.

Naomba tumsikikize ili tujadili.
View attachment 3644465
Wenzio wameinamisha vichwa inawezekana mawili kati ya yaha,ama hawajakuelewa kabisa unachoongea ama ameamua kuungana na kumwelewa unayejaribu kumchafua!
 
Wenzio wameinamisha vichwa inawezekana mawili kati ya yaha,ama hawajakuelewa kabisa unachoongea ama ameamua kuungana na kumwelewa unayejaribu kumchafua!
Kwa mwenye akili timamu hawezi kuandika ulichokiandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…