Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Sisi hata hatumuhitaji, bakini nae hapo bwawani mtaa wa [emoji3069].Huyu usajili wake kuja Yanga ulikuwa wa kimuhemko zaidi kuliko ufundi.
Nguvu zilizotumika kumsajili Chama na Baleke tungezitumia kusajili striker mmoja wa kueleweka kuliko Dube.
Na arudi tu Simba hata sasa sioni faida yake Yanga.
Eti unakuta mtu unamuhoji kuwa kwanini Yanga wamsajili chama na Baleke? bila aibu anakujibu kuwa lengo watusaidie kimataifa unabaki mdomo wazi...kiufupi sajili za Yanga ni zakipuuzi mnoHuyu usajili wake kuja Yanga ulikuwa wa kimuhemko zaidi kuliko ufundi.
Nguvu zilizotumika kumsajili Chama na Baleke tungezitumia kusajili striker mmoja wa kueleweka kuliko Dube.
Na arudi tu Simba hata sasa sioni faida yake Yanga.
Huu usajili ulikuwa wa kukurupuka sana.Eti unakuta mtu unamuhoji kuwa kwanini Yanga wamsajili chama na Baleke? bila aibu anakujibu kuwa lengo watusaidie kimataifa unabaki mdomo wazi...kiufupi sajili za Yanga ni zakipuuzi mno
ila simba walipokamsajili Morrison na Niyonzima hawakukurupuka?Baleke,Chama,Mkude,Senzo,haji manara,mwenda,na yule mlevi ni sajili za kuwaridhisha mashabiki wa utopwinyo
Mmemzeesha hatumtaki😂😁🤣😄Huyu usajili wake kuja Yanga ulikuwa wa kimuhemko zaidi kuliko ufundi.
Nguvu zilizotumika kumsajili Chama na Baleke tungezitumia kusajili striker mmoja wa kueleweka kuliko Dube.
Na arudi tu Simba hata sasa sioni faida yake Yanga.
Msiwashtue Gongowazi.Ubaya Ubwela unawasumbua.Baleke,Chama,Mkude,Senzo,haji manara,mwenda,na yule mlevi ni sajili za kuwaridhisha mashabiki wa utopwinyo
Kwani huko kwenu mmemchoka? Basi aende Kwao Lusaka...Karibu tena Mwamba wetu wa Lusaka Clotus Chama kwenye timu yetu ya Simba. Mimi pamoja na shabiki mwenzangu wa Simba, Ms Kalpana, hakika tunakusubiria kwa hamu sana ili uje ukinukishe tena msimu ujao.
Imagine pale mbele kuna Kibu, Mukwala, Mutale, Ahoua, ukichanganya na Chama! Aisee ni magoli tu yatamiminika kwa wapinzani.
Karibu tena Mwamba wetu wa Lusaka Clotus Chama kwenye timu yetu ya Simba. Mimi pamoja na shabiki mwenzangu wa Simba, Ms Kalpana, hakika tunakusubiria kwa hamu sana ili uje ukinukishe tena msimu ujao.
Imagine pale mbele kuna Kibu, Mukwala, Mutale, Ahoua, ukichanganya na Chama! Aisee ni magoli tu yatamiminika kwa wapinzani.
Viongozi wa Simba watakuwa na utetezi gani kumrudidsha kundini huyu msaliti?Anyway maamuzi tuwaachie viongozi wa Simba na Mo.
Haiwezekani kurudi simba ishavuka huko ni kweli amefanya makubwa akiwa simba ila maringo yake ,kudeka kwake as if simba haiwezi bila yeye ndio imechafua kurasa zake so sioni kama simba wanaweza kumrudisha tenaaaKwa levo aliyokuwa amefikia pale Simba hakufanya maamuzi sahihi kwenda Yanga tena kwa mbwembwe zile na kulazimisha kwiiingi. Mara agomee mazoezi mara achelewe kambini mara abishane na kocha wa viungo, mara atupe mpira chini kwa hasira mbele ya watazamaji ili mradi visa tu kama mke anayelazimisha talaka. Kila wakati afanye makosa yeye tena makusudi halafu viongozi wambembeleze yeye. Kwa kiasi fulani yeye na Mkude waliharibu nidhamu ya timu kwa ujumla.
Sasa huko Simba anakotaka kurudi si tayari kumeshajaa. Kweli uwezo bado anao lakini kitendo cha kumrudisha kitawakatisha tamaa vijana walioanza kujipata kama Ahoua ambao kiasi wamewafanya wanasimba waanze kumsahau Chama taratibu na mashabiki sasa wameanza kukubali uhalisia kuwa Simba inaweza kwenda mbele bila ya Chama.
Anyway maamuzi tuwaachie viongozi wa Simba na Mo.
Ni mtizamo tu.