Hubble Telescope
JF-Expert Member
- Jan 30, 2025
- 426
- 527
Simba ilimpendeza zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hersi alipiga asilimia nadhani Chama na Baleke ni makapi tu. Chama umri umeenda anakuja kuzeekea YangaHuyu usajili wake kuja Yanga ulikuwa wa kimuhemko zaidi kuliko ufundi.
Nguvu zilizotumika kumsajili Chama na Baleke tungezitumia kusajili striker mmoja wa kueleweka kuliko Dube.
Na arudi tu Simba hata sasa sioni faida yake Yanga.
Umeacha ile ishu, zako za kufirwa.... NaSisi hata hatumuhitaji, bakini nae hapo bwawani mtaa wa [emoji3069].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye jezi umesema kweli kbsaa wamearibu brand za yangYanga huenda ikaja msimu ujao ila msimu huu Kuna team ya hersi gsm na huyo designer sijui wanamuita nani binafsi sijawahi kuona yanga inayovaa majezi hata siyaelewi
Yanga Ina rangi zake na iko kwa Sasa imepumzika kupisha hii team ya matangazo na mikakati ya kuwapa watu umaarufu
Morrison aliyebeba Simba shirikisho ilikuwa one man show ilitosha kumpa Morrison cheti Cha utumishi mwema ,Kwa upande wa Niyonzima ile skipping ball deception kwa wachezaji wa ac vita Kisha mwamba anatupia msumari wa moto Simba inaenda robo fainali mbele ya team iliyompiga 5-0 Lubumbashi hatuwezi kumsahau Niyonzima .ila simba walipokamsajili Morrison na Niyonzima hawakukurupuka?
Arudi Simba kufanyaje? Huyo ishatoka labda aende KengoldHuyu usajili wake kuja Yanga ulikuwa wa kimuhemko zaidi kuliko ufundi.
Nguvu zilizotumika kumsajili Chama na Baleke tungezitumia kusajili striker mmoja wa kueleweka kuliko Dube.
Na arudi tu Simba hata sasa sioni faida yake Yanga.
Kwanza hata kabla ya kwenda Yanga mashabiki wa Simba walishamkataa kwa tabia zake,na hakuna shabiki wa Simba ameumia Chama kuondokaKwani huko kwenu mmemchoka? Basi aende Kwao Lusaka...
Huku tulishamtapika...
Mkapokea matapishi mkayalamba kama mmeanza kujisikia vichefu chefu tapikeni na nyie wampokee ndugu zenu SBS...
Basha si ulinipora wee? Nimekuachia ufirwee wee uridhikee shostitoo.Umeacha ile ishu, zako za kufirwa.... Na
walipokamsajili.... hiyo silabi ka yafanya nini hapo?ila simba walipokamsajili Morrison na Niyonzima hawakukurupuka?
No walikalili kua ili kuiua simba mtoe Chama hawakujua mkakati wa simba kuanza upya,huu mtego ndio uliosababisha simba kutofanya vyema miaka 3 nyuma,simba walifanya hivyo nailawaumbua yanga wanafanya makosa yaleyale.Huyu usajili wake kuja Yanga ulikuwa wa kimuhemko zaidi kuliko ufundi.
Nguvu zilizotumika kumsajili Chama na Baleke tungezitumia kusajili striker mmoja wa kueleweka kuliko Dube.
Na arudi tu Simba hata sasa sioni faida yake Yanga.