Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
inawezekana kuna vitu hatufanyi au vinatuzuia kuwa Yanga ile moto moto. Huyu Chama tulimchukua kwa ajili ya nini? miaka yote tulikuwa tunasema Chama ni konokono tukaja msajili, huyu Baleke Simba waliachana naye pia hawakuona msaada kwake. tukaenda mchukua kama tulivyofanya kwa Okra. Nani anatuhujumu? nani? kwa nini?
Yanga msimu uliopita tulikuwa na kikosi kikali sana hatukuhitaji mambo mengi msimu huu. hatukutakiwa kuwachukua hawa watu wamechoka.. hawana msaada katika matches za muhimu, matches ngumu. akina Chama wanafaa kwenye matches ambazo hazina ugumu, hazina matumizi ya nguvu. Chama miaka yote tunamponda ni konokono ana poza mashambulizi leo huyu tumeingia naye mkataba kila match acheze ili kutochekwa na wapinzani wetu mikia.
nani anatuhujumu? Nabi alifukuzwa sababu zipi tuwe wakweli viongozi. mbona kama suala la kumpangia kikosi alishaamua anyamaze? mimi sioni sababu ya Yanga kuwa hivi sioni sababu kwa kweli. team ina wachezaji wazuri ila kwa sasa wanaonekana wamechoka. wamechoka na nini? Aziz Ki shida nini kwa sasa tuchunguze. kuna mambo hayapo sawa.