Huyu Chama SImba walitubadilishia nini? kuna kitu Yanga hakipo sawa

Huyu Chama SImba walitubadilishia nini? kuna kitu Yanga hakipo sawa

Usiseme ivooo
Chama miaka yote tulikuwa tunasema ni konokono. matches za nguvu huwa hawezi na hana msaada. huwa ni mzuri kwenye match ambayo mnaweza kufunga bao nyingi naye anakuwemo. lakini Chama tunamwona anajitahidi kutu prove wrong ila kiukweli amechoka umri umeenda na ndo maana Simba waliamua kumwacha wala this time hawakuwa na mpango naye..... sisi GANDA LA MUA LA JANA CHUNGU KAONA KIVUNO.
 
Chama kacheza dakika ngapi na hao waliokuwepo mwaka Jana wamecheza ngapi?
 
Back
Top Bottom