Huyu changudoa wa Corner bar, nahisi ni jini aliyevaa umbo la binadamu ila sina uhakika

Huyu changudoa wa Corner bar, nahisi ni jini aliyevaa umbo la binadamu ila sina uhakika

Kimantiki, mzigo wa kuthibitisha upo kwa yule anayesema kitu kipo, haupo kwa yule anayesema kitu hakipo.

Ndiyo maana polisi wakikutuhumu una madawa ya kulevya nyumbani kwako, wanachotakiwa kufanya ni kupata search warrant, ku search nyumba yako, kupata madawa.

Hawakwambii "thibitisha kuwa huna madawa".

You have the burden of proof.

Thibitisha Mungu yupo.
Kiranga huu ujasiri unautolea wapi? Thibitisha kama wewe ni binadamu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanataka kuanzisha ligi na kiranga...hawajui unaweza ukabishana na chochote na bado ukaibuka kidedea
 
Anaitwa Jacky, nilimfahamu mwaka 2019,huo mwaka nulimchukua mara moja kwa ajili ya short for first time, sasa tukajenga mazoea kwa vile akiwa chumbani ni mchangamfu sana, aliiona picha yangu kwenye simu, akaniambia hiyo picha ya siku nyingi, nikamuuliza amejuaje akaniambia kwasababu ameona damu, mmh nikaguna kimoyomoyo ila nikaweka alama ya kuuliza kichwani.

Kwa mara ya kwanza nilimchukua mara moja tu, ikapita miezi mingi sikwenda kona baa, siku nilienda tena pale, nilimwona kwa mbali ananikazia macho na kuniangalia kwa makini, nilivyoendaga kumchukua mara ya pili, aliniambia mambo yote nilikuwa nafanya pale kona baa kwa usiku ule na yalikuwa kweli nikasema miezi mingi imepita tangu nimchukue ina maana hajanisahaugi.

Nina mashaka na huyu changu, ingawa ni Mweusi, mzuri ana kiuno nyigu, na chura Mkubwa, FB anatumia jina la Jack Chacha kwa wahudhuriaji wa kona baa mtakuwa mnamfahamu huyo mdada, kuna uwezekano mkubwa nilifanya ngono na a fallen angel (mmoja wa malaika aliefukuzwa mbinguni na shetani)

Wanaume tuwe makini..
Nilimuomba fb messenger akasema poa.
Kwa maelezo haya atakuwa ni foleni angel,kama sio wewe ndo jack unasaka wateja
 
Machangudoa hua wanakariri sana wateja wao,hasa ambao mulienda sawa bini sawia!

Maana mkiachana kwa mikwara baada ya gegedo,huwezi kukuta siku nyingine anatamani kuwa na wewe tena
SAwa ipi labda ya pesa ndefu
 
Wekeni basi tumuone ili tujue kama tumeruka nae au lah maana pictures mlizoweka hazifunguki
 
Makahaba wengi utumika kiroho kuchukua nyota za watu pia kuwapandikizia wanaume roho za uhalibifu na nuksi ya kuharibu maisha yao.
 
She is popular now aseeh.
20210814_063158.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom