Huyu changudoa wa Corner bar, nahisi ni jini aliyevaa umbo la binadamu ila sina uhakika

Shusha thread mkuu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ukimchukua kwa mara nyingine tena, nenda na nyama ya Kitimoto 🐽🐷, halafu mshawishi ale! Akikataa, basi ujue huyo kweli ni jini!! Timua mbio!! 🏃🏃


Halafu Tate Mkuu unavyomshauri mwenzio mara paaap anachukua nyama ya wale 🐷🐖🐷🐖 wa kwenye Marko 5: 13 🤣🤣🤣





Marko 5​

2 Na alipokwisha kushuka chomboni, mara alikutana na mtu, ambaye ametoka makaburini, mwenye pepo mchafu;
3 makao yake yalikuwa pale makaburini; wala hakuna mtu ye yote aliyeweza kumfunga tena, hata kwa minyororo;
4 kwa sababu alikuwa amefungwa mara nyingi kwa pingu na minyororo, akaikata ile minyororo, na kuzivunja-vunja zile pingu; wala hakuna mtu aliyekuwa na nguvu za kumshinda.
5 Na sikuzote, usiku na mchana, alikuwako makaburini na milimani, akipiga kelele na kujikata-kata kwa mawe.
6 Na alipomwona Yesu kwa mbali, alipiga mbio, akamsujudia;
7 akapiga kelele kwa sauti kuu, akasema, Nina nini nawe, Yesu, Mwana wa Mungu aliye juu? Nakuapisha kwa Mungu usinitese.
8 Kwa sababu amemwambia, Ewe pepo mchafu, mtoke mtu huyu.
9 Akamwuliza, Jina lako nani? Akamjibu, Jina langu ni Legioni, kwa kuwa tu wengi.
10 Akamsihi sana asiwapeleke nje ya nchi ile.
11 Na hapo milimani palikuwa na kundi kubwa la nguruwe, wakilisha.
12 Pepo wote wakamsihi, wakisema, Tupeleke katika nguruwe, tupate kuwaingia wao.
13 Akawapa ruhusa. Wale pepo wachafu wakatoka, wakaingia katika wale nguruwe; nalo kundi lote likatelemka kwa kasi gengeni, wakaingia baharini, wapata elfu mbili; wakafa baharini.
 
Afya yako vip mkuu...hauna umeme kwel
 
Hii M
Hii malindi ni ya moshi mjini? Naomba location sahihi ili siku nikitembelea huko nikasuuze macho
 
Jini chacha
 
Ila sasa bahati mbaya hakuna malaika wa kike ingawa mara nyingi nasikia story kama hizi. "ALL ANGELS ARE MEN" rejea biblia ya kingereza hutumia kiwakilishi he au sons of GOD kuongelea malaika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…