Huyu changudoa wa Corner bar, nahisi ni jini aliyevaa umbo la binadamu ila sina uhakika

Huyu changudoa wa Corner bar, nahisi ni jini aliyevaa umbo la binadamu ila sina uhakika

Ni wasiwasi wako tu, huyo ni sawa na mwalimu anavyokariri wanaeunzi wake.
Kuna siku nilikuwa nimenunua malaya, sasa bahati mbaya nilikuwa maji sana kwa k-vant.
Tulivyofika guest nikavua suruali yenye hela nikaiacha nikaenda kuoga kwanza. (kiwango cha hela hakikujulikana na ndio tabia yetu walevi, huwa tunahesabu zinazobaki asubuhi)
Nilivyorudi nikamkaza sana, badae akaniuliza wewe ni mgeni kwenye kununua dada poa? Nikamuuliza kwanini unaniuliza hivyo! Akasema kuna kitu cha uzembe amegundua but ataniambia siku nyingine, tukaachana.

Siku nyingine nikaenda C- PARK na nikanyosha moja kwa moja juu coz kuna demu nilimwelekeza aje juu kuna utulivu fulani.
Ile nakaa tu kwenye sofa na malaya yule huyu hapa, akasema ameniona pale chini napita, akanikumbuka ameamua anifate.
Akasema ana nyege nimbandue na nisimpe hela nimpe tu castle lite 3.
Ndio katika stori akaniambia ile siku nimeenda kumto_, nilivyoacha suruali yenye hela ili nikaoge, alichukua 20,000 kwenye suruali na ndio maana aliniuliza ni mgeni kwenye tasnia?
 
Anaitwa Jacky, nilimfahamu mwaka 2019,huo mwaka nulimchukua mara moja kwa ajili ya short for first time, sasa tukajenga mazoea kwa vile akiwa chumbani ni mchangamfu sana, aliiona picha yangu kwenye simu, akaniambia hiyo picha ya siku nyingi, nikamuuliza amejuaje akaniambia kwasababu ameona damu, mmh nikaguna kimoyomoyo ila nikaweka alama ya kuuliza kichwani.
Mkuu ulifaidi sana. Vipi ni mtamu ama ndo wale wale? Naomba namba yake kama hautojali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni mtazamo wenu, ila mm binafsi nlivoandika hii thread sikua na nia ya kumtangaza huyo mdada, coz mdada mwenyewe ana smartphone, ivo hanihitaji mm nimtangaze, nia yangu tu ni kusisitiza wanaume tuwe makini, sahiv nshaacha iyo tabia ya kununua dada poa.. ni addiction mbaya na ni risk .

Kwa kifupi mm nilikua ni mteja tu wa kununua makahaba, nikisema nianze elezea machimbo ya shivaz, malindi, Tegeta kibo, etc na malaya zake ntajaza thread KijanaHuru dronedrake
Mkuu hadi shivazi ulifika? Mimi nilikatiza ile mitaa nikiwa kijana mdogo sana pisi moja kali likanishika mkono mpaka chumbani bila hata kutongoza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada poa huwa nawaogopa sana, hawachelewi kukimbia na kijiji chenyewe hao!
 
IMG_2354.png

Dada wa watu kawa popular ghafla na account haipo tena[emoji22]
 
Huo ni uongo Ambao sisi binadamu tunajidanganya nao, Nilifanya research mtandaoni nikagundua majini wanaovaa umbo la kibinadamu nao wanakula kitimoto kama kawaida, kuna siku ntaleta thread hapa inayohusu majini tunayoishi nayo yaliyo na umbo la kibinadamu Tate Mkuu
Hata bange wanavuta
 
Hapo hapo kibo complex upande wa pili Kuna bar 2 zinashindana kb bar na watsup pub wapo tele hapo
Hapo ni balaa .kipind niko second yr 2010....kuna mwanangu alimambia ebwana eeh twenzetu tegeta kuna kiwanja kina totoz balaa...nilienda nilishangaa sanaa..hzo bar zipo kitambo wanafanya kubadilisha majina tu..kumbe had leo wap...skuhiz napitaga naona kuna ma frame ya biashara kibao najua hyo biashara imekufa kumbe bado.duuuh
 
Hapo ni balaa .kipind niko second yr 2010....kuna mwanangu alimambia ebwana eeh twenzetu tegeta kuna kiwanja kina totoz balaa...nilienda nilishangaa sanaa..hzo bar zipo kitambo wanafanya kubadilisha majina tu..kumbe had leo wap...skuhiz napitaga naona kuna ma frame ya biashara kibao najua hyo biashara imekufa kumbe bado.duuuh
Whatsuo pub ilikuwaga restaurant sasa ni pub kabla haijawa pub brazil ambayo sasa ipo chali ilikuwa inashindana na kb bar hayo mafremu mengi ndo chimbo lao usiku wanazurula kb bar na whatsup pub
 
Back
Top Bottom