Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kuna tukio lilinitokea hapo kona bar nikaamini uchawi wa ngono upo 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha mshana banaJini aliyevaa umbo la binadamu huwezi mtambua Kimuonekano kwa macho ya nyama, labda ateleze/ajisahau kwenye matendo yake, which is very hard to happen, bcoz wako makini, wanajua kuigiza kuishi kama binadamu kichwa kikubwa
Trafic itakua kubwa balaa...Leo ajiandae paka atashangaa wateja watavyomiminika
Sikubishii, kunuka ama kunukia ipo saikolojia zaidi na ni hisia zako.Ananuka!!! Kwani unasemaje?
Aliyenunua changu doa,na aliyenunuliwa, nani agent wa ibilisi?Ndio, ana rasta, watu wanadhani nlivoandika hii thread, namtangaza huyo mdada, ila kiuhalisia binadamu tuko kwenye vita nzito ya kiroho
Nina mashaka kama sio jini, bhas ni binadamu ambaye ni ajenti wa ibilisi, anaetumwa kwa ajili ya mission flani
njumu za kosovo
Sasa ni wakati na sisi Bongo tupate m'moja kupitia shemeji yetu jini......Sio Aquaman tu, alladin, spiderman, captain America, batman, cjui filamu za mermaid, X-Men, Powerpuff girls cartoon, the hulk, superheroes wote wa hollywood (marvel comics) ni majini wanajionesha moja ya maumbo yao, wanajifanya wao ni waokoaji, wanaiga tabia ya Yesu ya kuokoa ili wawe admired Samcezar
Kwanini sasa?!Jiandae Kuuliwa au hata Kudhuruliwa nae Ndugu kwani Watu kama hawa huwa hawataki Kuumbuliwa hivi.
Kuwa makini sana kwani nawajua japo sitaki uniulize Swali la Kwanini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie mtamu, uwaga wananilaga sana sababu ya utamu!
AiseeMkuu
wala huyo sio Jini
na haitwi Jack Chacha
Bali anaitwa Rucy
nilimkuta Ambiance
nimempiga pia nami
anatumia mafuta ya parachute
Kweli mtoto ana kiuno
Aisee sitasahau kwa kweli!
Kama ni Jini utakuwa wewe ni wa pekee
Nina picha zake tumekuwa tukiwasiliana ila kwa sasa sina mawasiliano nae
Hivyo huyo Jamaa asiogope
Hii utumika kama heshima tu ,ila nakumbuka nilivyosoma mie ni kwamba hawa malaika awana jinsia
Sent from my Infinix X623
Tujuzane kitabu gan na sura ya ngap na msitari upi katika biblia unasema malaika hawana jinsia?? GOD AND ALL ANGELS ARE MEN na wanajinsia hata BWANA YESU mwenyewe alitahiriwa na hakuna mahal panaposema alipopaa juu jinsia ilitowekaHii utumika kama heshima tu ,ila nakumbuka nilivyosoma mie ni kwamba hawa malaika awana jinsia
Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app
Hiyo picha kwenye simu yako ilikuwa na damu kweli?Anaitwa Jacky, nilimfahamu mwaka 2019,huo mwaka nulimchukua mara moja kwa ajili ya short for first time, sasa tukajenga mazoea kwa vile akiwa chumbani ni mchangamfu sana, aliiona picha yangu kwenye simu, akaniambia hiyo picha ya siku nyingi, nikamuuliza amejuaje akaniambia kwasababu ameona damu, mmh nikaguna kimoyomoyo ila nikaweka alama ya kuuliza kichwani.
Kwa mara ya kwanza nilimchukua mara moja tu, ikapita miezi mingi sikwenda kona baa, siku nilienda tena pale, nilimwona kwa mbali ananikazia macho na kuniangalia kwa makini, nilivyoendaga kumchukua mara ya pili, aliniambia mambo yote nilikuwa nafanya pale kona baa kwa usiku ule na yalikuwa kweli nikasema miezi mingi imepita tangu nimchukue ina maana hajanisahaugi.
Nina mashaka na huyu changu, ingawa ni Mweusi, mzuri ana kiuno nyigu, na chura Mkubwa, FB anatumia jina la Jack Chacha kwa wahudhuriaji wa kona baa mtakuwa mnamfahamu huyo mdada, kuna uwezekano mkubwa nilifanya ngono na a fallen angel (mmoja wa malaika aliefukuzwa mbinguni na shetani)
Wanaume tuwe makini..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Anataka watu wakamshuhudie jini anafananajejanja janja
wewe ni king'asti wake au wewe ndiye jacki , ilo la kwanza
la pili, lipia tangazo
Ngoja nikamtazame FB kwanzaAnaitwa Jacky, nilimfahamu mwaka 2019,huo mwaka nulimchukua mara moja kwa ajili ya short for first time, sasa tukajenga mazoea kwa vile akiwa chumbani ni mchangamfu sana, aliiona picha yangu kwenye simu, akaniambia hiyo picha ya siku nyingi, nikamuuliza amejuaje akaniambia kwasababu ameona damu, mmh nikaguna kimoyomoyo ila nikaweka alama ya kuuliza kichwani.
Kwa mara ya kwanza nilimchukua mara moja tu, ikapita miezi mingi sikwenda kona baa, siku nilienda tena pale, nilimwona kwa mbali ananikazia macho na kuniangalia kwa makini, nilivyoendaga kumchukua mara ya pili, aliniambia mambo yote nilikuwa nafanya pale kona baa kwa usiku ule na yalikuwa kweli nikasema miezi mingi imepita tangu nimchukue ina maana hajanisahaugi.
Nina mashaka na huyu changu, ingawa ni Mweusi, mzuri ana kiuno nyigu, na chura Mkubwa, FB anatumia jina la Jack Chacha kwa wahudhuriaji wa kona baa mtakuwa mnamfahamu huyo mdada, kuna uwezekano mkubwa nilifanya ngono na a fallen angel (mmoja wa malaika aliefukuzwa mbinguni na shetani)
Wanaume tuwe makini..
Jamaa wanamgema manii bila kujijuaAfadhali umeliona hilo mapema
Jamaa umepotea sana whatsappWewe mle tupate wajomba majini na tuunganishe koo. Au haujaona movie ya AquaMan?!
af ni kweli ukiona hivyo kuna jambo mana ngoma ikilia sana....Mada za machangudoa zimekua nyingi humu… waacheni nao wajitaftie ridhki…