Huyu changudoa wa Corner bar, nahisi ni jini aliyevaa umbo la binadamu ila sina uhakika

Huyu changudoa wa Corner bar, nahisi ni jini aliyevaa umbo la binadamu ila sina uhakika

Nime mu search FB, mbona hafananii na sifa ulizompa
 
Ndio, ana rasta, watu wanadhani nlivoandika hii thread, namtangaza huyo mdada, ila kiuhalisia binadamu tuko kwenye vita nzito ya kiroho

Nina mashaka kama sio jini, bhas ni binadamu ambaye ni ajenti wa ibilisi, anaetumwa kwa ajili ya mission flani
njumu za kosovo
Dah huyo ndo ulimununua?
Wanaume mna roho ngumu sana aisee
 
Sio Aquaman tu, alladin, spiderman, captain America, batman, cjui filamu za mermaid, X-Men, Powerpuff girls cartoon, the hulk, superheroes wote wa hollywood (marvel comics) ni majini wanajionesha moja ya maumbo yao, wanajifanya wao ni waokoaji, wanaiga tabia ya Yesu ya kuokoa ili wawe admired Samcezar
Acha kudanganya watu wewe
 
Ndio, ana rasta, watu wanadhani nlivoandika hii thread, namtangaza huyo mdada, ila kiuhalisia binadamu tuko kwenye vita nzito ya kiroho

Nina mashaka kama sio jini, bhas ni binadamu ambaye ni ajenti wa ibilisi, anaetumwa kwa ajili ya mission flani
njumu za kosovo
dah mpaka nmeingia fb ana rasta na pua pana sijui ndo yeye,kama ndo yy mbona agent bado mdogo hvyo akifika umri wang si amewamaliza wengi
 
FB anatumia jina la Jack Chacha kwa wahudhuriaji wa kona baa mtakuwa mnamfahamu huyo mdada,
Haki ya Mungu, kama kuna atakayeweza kuuona Ufalme wa Milele hapa JF, basi nimebaki peke yangu!!! Yaani nilipoona tu hiyo "Caring Is Sharing" hapo kwenye RED, nikajua tu wana-JF wamejazana huko!

Kwa vile "No Research, No Right to Speak", nikaamua kufanya kautafiti nione kama nipo sahihi; na Research Findings ni hizi hapa chini---
Jack.png

Hivi nyie watu mna matatizo gani lakini?

Ndugu yangu MALCOM LUMUMBA, hakika ukitaka kuupata Ufalme wa Mbinguni, basi iga nyenendo za kaka yako mimi!!
 
Nadhani Bongo sasa hivi Evolution inakwenda Vice Versa..., Si kwa Imani hizi....
 
Ndio, ana rasta, watu wanadhani nlivoandika hii thread, namtangaza huyo mdada, ila kiuhalisia binadamu tuko kwenye vita nzito ya kiroho

Nina mashaka kama sio jini, bhas ni binadamu ambaye ni ajenti wa ibilisi, anaetumwa kwa ajili ya mission flani
njumu za kosovo
Kwenye sex huwa anasisitiza kondom au yuko free? Maana wengine wanakusanya sperm.
 
Mama D unaonekana ni mtu mwema sana na unaejitambua. Ila sisiemu sijui walikupa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi sio mwema sana kiboboso, nina ubinadamu wangu pia kama ilivyo asili yetu wana wa Adam.
Kukosea kupo ila ukiona nafsi yako inakushuhudia makosa na unapata maumivu au hofu ya makosa yako, ukawa unayajutia na kuumia hata kujutia na kuchukia mazingira yaliyokupeleke huko basi ujue mkono wa Mungu uko juu yako na unatakiwa kubadilika.

Sisiemu hawajanipa chochote ila nikikumbuka chadema walichowafanyia watanzania 2015 najisemea heri heri nusu shari kuliko shari kamili
 
Jacky chacha inamaana huyu changu Ni mkuria.
Mkuu ulikuta Kisibusi hapo miguu inapokutana?
Wakuria , wamasai, wachagga , wagogo ,wagita, wapare nadhani na wanyakyusa Ni walewale mlango ulishachukuliwa na ngariba.
 
Back
Top Bottom