Huyu changudoa wa Corner bar, nahisi ni jini aliyevaa umbo la binadamu ila sina uhakika

Huyu changudoa wa Corner bar, nahisi ni jini aliyevaa umbo la binadamu ila sina uhakika

Mimi sio mwema sana kiboboso, nina ubinadamu wangu pia kama ilivyo asili yetu wana wa Adam.
Kukosea kupo ila ukiona nafsi yako inakushuhudia makosa na unapata maumivu au hofu ya makosa yako, ukawa unayajutia na kuumia hata kujutia na kuchukia mazingira yaliyokupeleke huko basi ujue mkono wa Mungu uko juu yako na unatakiwa kubadilika.

Sisiemu hawajanipa chochote ila nikikumbuka chadema walichowafanyia watanzania 2015 najisemea heri heri nusu shari kuliko shari kamili
Walifanyaje hao chadema? Nifafanulie pls.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walifanyaje hao chadema? Nifafanulie pls.

Sent using Jamii Forums mobile app

Walipuyanga sana hapa chadema

CHADEMA 2005 - 2014
20210724_195112.jpg


images (9).jpeg
 
Mtungi ulikataa kupanda jogoo ama?

Sent using Jamii Forums mobile app
hapana nilibadilishiwa target kimazingara.

Nilimona A na B, nikaamua kumfata A ambaye alikua na vigezo vyangu, ila kabla sijamfikia A gafla B akanigusa mkono nikajikuta nimebadili target yangu na kuondoka na B ambaye wala hata hakua na vigezo vyangu navyopenda.
Baada ya mchezo ndiyo nikaelewa nimechezewa picha la kigagula.
 
Anaitwa Jacky, nilimfahamu mwaka 2019,huo mwaka nulimchukua mara moja kwa ajili ya short for first time, sasa tukajenga mazoea kwa vile akiwa chumbani ni mchangamfu sana, aliiona picha yangu kwenye simu, akaniambia hiyo picha ya siku nyingi, nikamuuliza amejuaje akaniambia kwasababu ameona damu, mmh nikaguna kimoyomoyo ila nikaweka alama ya kuuliza kichwani.

Kwa mara ya kwanza nilimchukua mara moja tu, ikapita miezi mingi sikwenda kona baa, siku nilienda tena pale, nilimwona kwa mbali ananikazia macho na kuniangalia kwa makini, nilivyoendaga kumchukua mara ya pili, aliniambia mambo yote nilikuwa nafanya pale kona baa kwa usiku ule na yalikuwa kweli nikasema miezi mingi imepita tangu nimchukue ina maana hajanisahaugi.

Nina mashaka na huyu changu, ingawa ni Mweusi, mzuri ana kiuno nyigu, na chura Mkubwa, FB anatumia jina la Jack Chacha kwa wahudhuriaji wa kona baa mtakuwa mnamfahamu huyo mdada, kuna uwezekano mkubwa nilifanya ngono na a fallen angel (mmoja wa malaika aliefukuzwa mbinguni na shetani)

Wanaume tuwe makini..
Kona Bar inapatikana wapi mpwa nahitaji kufanya utafiti
 
Kama ndio huyo mwenye rasta basi nimemuomba urafiki akikubali tu namseti namuomba mbususu ili nione kama kweli ni JINI au JINIAZ
 
Jacky chacha inamaana huyu changu Ni mkuria.
Mkuu ulikuta Kisibusi hapo miguu inapokutana?
Wakuria , wamasai, wachagga , wagogo ,wagita, wapare nadhani na wanyakyusa Ni walewale mlango ulishachukuliwa na ngariba.
Hata wachagga ?
 
Back
Top Bottom