Huyu changudoa wa Corner bar, nahisi ni jini aliyevaa umbo la binadamu ila sina uhakika

Huyu changudoa wa Corner bar, nahisi ni jini aliyevaa umbo la binadamu ila sina uhakika

Kama zikilegea hazifai tena kwanini soko lao ni kubwa kuliko hawa wastaarabu? Sisi ndio wanaume na ndio nakwambia. Hao malaya wanalinda ndoa za wanawake wengi sana.

Kuhusu vibamia wameshatuzoea kifupi tumezoeana[emoji1][emoji1]
Exactly! You nailed it Sir., ni wazuri kuliko hawa wanaojiita ni wastaarabu!
 
Thibitisha madai haya.
Mungu ni Roho. (Yohana 4:24) Hawezi kuonekana na wanadamu. (Yohana 1:18) Maono yote yaliyorekodiwa katika Biblia kumhusu Mungu yanamwonyesha akiwa na makao hususa. Haonyeshwi kamwe akiwa kila mahali.—Isaya 6:1, 2; Ufunuo 4:2, 3, 8.

Makao ya Mungu: Mungu anakaa katika makao ya kiroho, ambayo ni tofauti kabisa na uumbaji halisi. Makao yake yako mbinguni. (1 Wafalme 8:30) Biblia inataja pindi ambapo viumbe wa roho “waliingia na kusimama mbele za Yehova,” * kuonyesha kwa njia fulani kwamba Mungu anakaa mahali fulani hususa.—Ayubu 1:6

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka nikukomboe utoke kwenye huo utumwa wa shetani, na umtambue Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app

ili ukatae uwepo wa Mungu ni lazima ukatae uwepo wa kila kitu @Kiranga yupo sahihi Mungu hayupo kwa maana hiyo hakuna kilichopo, kama ukikubali uwepo wa chochote apo ndipo utakapoanza uwepo wa Mungu, kama hakuna Mungu hakuna uwepo kama kuna uwepo kuna Mungu,
 
Anaitwa Jacky, nilimfahamu mwaka 2019, huo mwaka nulimchukua mara moja kwa ajili ya short for first time, sasa tukajenga mazoea kwa vile akiwa chumbani ni mchangamfu sana, aliiona picha yangu kwenye simu, akaniambia hiyo picha ya siku nyingi, nikamuuliza amejuaje akaniambia kwasababu ameona damu, mmh nikaguna kimoyomoyo ila nikaweka alama ya kuuliza kichwani.

Kwa mara ya kwanza nilimchukua mara moja tu, ikapita miezi mingi sikwenda Kona baa, siku nilienda tena pale, nilimwona kwa mbali ananikazia macho na kuniangalia kwa makini, nilivyoendaga kumchukua mara ya pili, aliniambia mambo yote nilikuwa nafanya pale Kona baa kwa usiku ule na yalikuwa kweli nikasema miezi mingi imepita tangu nimchukue ina maana hajanisahau.

Nina mashaka na huyu changu, ingawa ni Mweusi, mzuri ana kiuno nyigu, na chura Mkubwa, FB anatumia jina la Jack Chacha kwa wahudhuriaji wa Kona baa mtakuwa mnamfahamu huyo mdada, kuna uwezekano mkubwa nilifanya ngono na a fallen angel (mmoja wa malaika aliefukuzwa mbinguni na shetani)

Wanaume tuwe makini..
Screenshot_20210815-045931.png


Bro,
Siku zingine uwe unaweka na profile yake kabisa ili turahisishiane kazi.
 
Anaitwa Jacky, nilimfahamu mwaka 2019, huo mwaka nulimchukua mara moja kwa ajili ya short for first time, sasa tukajenga mazoea kwa vile akiwa chumbani ni mchangamfu sana, aliiona picha yangu kwenye simu, akaniambia hiyo picha ya siku nyingi, nikamuuliza amejuaje akaniambia kwasababu ameona damu, mmh nikaguna kimoyomoyo ila nikaweka alama ya kuuliza kichwani.

Umeisha mkuu
 
Aisee inaonekana huyu changudoa amepata wateja wengi tokea uzi uanzishwe.
 
Inaonekana wewe ni mgeni na hujui kitu mkuu. Nani alikuambia machangu wananyeshwa manii? Mademu zetu hawa wa kawaida mtaani ndo wananyeshwa sana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina mshikaji wangu, yeye kaoa ila kunyonwa anakwenda kumlipa changu ili amnyonye na kumwagia shahawa mdomoni, akitoka hapo mwepesi hata upepo ule wa alasiri unaojaza bahari ukimpuliza anaanguka chali chini kama karatasi.
 
Kona bar zipo kibao hapa nchini ni kona bar gani iyo namanisha mkoa gani
 
Back
Top Bottom