Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
- #21
PumbavuChadema ni majinga kwelikweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PumbavuChadema ni majinga kwelikweli
[emoji38][emoji38]UWT mlikubaliana aongee?
Chadema wizi unawasumbua
Hahaha......!
Ameongea kwa niaba ya UWT au?
Huyo hajasoma alama za nyakati anadhani kuinanga CHADEMA ndio atapata uteuzi. Akashughulikie kwanza kashafa yake ya kugombaniwa na wanaume wawili. Mtu una kashfa mbaya lakini bado unajitutumua kuisema CHADEMA
Suphian uje uthibitishe kama unao wawili au mmoja.Huyo hajasoma alama za nyakati anadhani kuinanga CHADEMA ndio atapata uteuzi. Akashughulikie kwanza kashafa yake ya kugombaniwa na wanaume wawili. Mtu una kashfa mbaya lakini bado unajitutumua kuisema CHADEMA.
Aisee.Ona sasa
👇View attachment 2466604
Mtahangaika Sana na cdm na jengo lake. Sifa ya chama siyo majengo Bali wanachama na viongozi wenye maoni jenzi yaani constructive vision na kipaji.Ona sasa
👇View attachment 2466604
Yule mmoja ameshatangulia mbele ya haki, ila kwa tabia zake atakuwa nao wengi ana tamaa sanaSuphian uje uthibitishe kama unao wawili au mmoja.